Namna ya ku track sms na calls

Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank u.
Unataka kufanya ivo kwa gf wako kwasababu humuamini... So kama ni mpenzi wako na humuamini sioni haja yakujisumbua
 
wapi? And how to buy it mkuu!

nenda kwenye google then andika jina lake.utapata option nyingi chagua unayoitaka.ukiwa unataka kudownload ndo wanadai uilipie kwanza kwenye mtandao kupia credit card
 
Mwisho wa siku utamjua na hatimaye utamuacha.... Yuko kama wewe mwenyewe unavyofanya mambo yako ya siri.
Hakuna aliyekamilika prof. wangu. Au wewe unaona uko fiti??? Usijaribu kuchunguza mapungufu ya watu kamanda.
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank u.

Kabla cijakupa ushauri nataka nielewe kabila lako.. Ucije ukawa wale wanaopenda kujirestisha in peace.. Wakidai au kuadiwa.. Wakichukuliwa samsing zao vle vle..

Citaki keci mie..
 
Kabla cijakupa ushauri nataka nielewe kabila lako.. Ucije ukawa wale wanaopenda kujirestisha in peace.. Wakidai au kuadiwa.. Wakichukuliwa samsing zao vle vle..

Citaki keci mie..

ulimuswano!
 
Daaaaaah, we kijana mwanamke ukitaka kumfuatilia utajiletea matatizo mengi sana. sikatai mwanamke ni muhimu kumbana lakini kuna kipindi ukitaka kukaba hadi penalt utapata matatizo sana. hawa wenzetu wana akili mara 2li yetu ifikapo katika suala zima la mapenzi. ila kwa mambo mengine ni wajinga kuliko mtoto wa mwaka 1 ambapo mwanamk eutamchezea na kumbadilisha utakavyo bila yeye kujijua.
application hizo zipo sana tu na mii ninayo moja ambayo nishawahi kuitumiakwa wife,il niliiondoa aada ya kunifanya nimchukie mke wangu ghafla. so sikushauri kabisa utumie vitu kama hivyo.
 
ulitumia ipi mkuu?
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank u.
Siku zote, kama una uhakika wa kuyafanyia kazi matokeo ya uchunguzi wako sawa. Isije mwisho ukaamua kumwachia mungu huku roho ikiteketea. Usije ukachunguza halafu ukakuta baba yako mzazi ndo anampigia sana simu na ma-sms ya love kibao. Utakufa siku si zako dogo
 
application hizo zipo sana tu na mii ninayo moja ambayo nishawahi kuitumiakwa wife,il niliiondoa aada ya kunifanya nimchukie mke wangu ghafla. so sikushauri kabisa utumie vitu kama hivyo.
Sasa ulimchukia mkeo kwa sababu ya hiyo app au kwa sabau ya kugundua tabia yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…