Namna ya ku extract Zip file.

Namna ya ku extract Zip file.

Wikulwe

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
28
Reaction score
21
Habari Wana jamvi!
Bila shaka mpo okeay, huku tukisonga na gurudumu letu la kuijenga Tanzania pendwa.

Moja kwa moja naomba niende kwenye maada husika.
Naomba kujua/kufahamu namna ya Ku extract file, namaanisha kwamba, kwa mfano ulitaka kutengeneza website au forum, au site yeyote kwa kutumia hii joomla au phBB software , lazima watakuambia uregister kwanza ndo taratibu zingine zifuate, baada ya hapo utaambiwa udownload hilo file (Zip file). Baada ya kuldonwload utaaliserve kwenye laptop/desktop.

Sasa tunaomba kwa anae jua namna ya kulifungua atupe step by step mpaka liweze kutumika au kufanikiwa kufanya kazi,
Shukran sana wakuu.
 
Tunaomba mautundu yenu wakuu, nasi tujue angalau mawili matatu
 
Tunaomba mautundu yenu wakuu, nasi tujue angalau mawili matatu
Search google 7zip then download na uinstall kwenye pc yako,kisha nenda kwenye hlo zip file yako utaright click utaona 7zip click itakupa option ya kuextract
 
Search google 7zip then download na uinstall kwenye pc yako,kisha nenda kwenye hlo zip file yako utaright click utaona 7zip click itakupa option ya kuextract
Sawa mkuu baada ya kuextract step za pale namna ya kuanza kutumia ili nitengenze sasa site yangu nafanyaje?
 
Back
Top Bottom