Kwani amesema wasivae?Ni sheria ya nani kuwa fulani avae hivi? Ni kutaka kuwafanya wenzao watumwa. Let him or her put on attire of his / her choice? Whose dressing codes are the codes? Whose dressing standards are the Standards?
Usimpangie avae vipi? Hoja ni hiyo!
Usimpangie avae vipi? Hoja ni hiyo!
Kuna kundi amelilaumu, read between lines, you will notice the base of his argument!Hakuna mahali amesema wavae hivi ama vile, yeye kafanya comparison tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajamlaumu yeyote, kusema shetani amekalia cherehani? Ni kweli shetani amekalia cherehani ila kuna sehemu amesema watu wafuate mishono yake au wasifuate?Kuna kundi amelilaumu, read between lines, you will notice the base of his argument!
Nadhani wakati ule alikuwa anakalia vichwa ndo maana wote wamevaa mawigi
Nadhani wakati ule alikuwa anakalia vichwa ndo maana wote wamevaa mawigi
joking
Kwa nini una tii serikali, kwa nini unatii wazazi wako? Mbona unauliza maswali ya mtu asiyejitambua? Sipotwzi muda kujibu hoja kama hizi mkuu. Nenda kanye polisi kwa sababu humjui aliyeweka maadili. Ninyi ndio mnaosapoti hata mambonya hovyo, the way I see itLet them do it...walk naked... as long as they are not against the law of the Land; and those laws must be just laws! Not oppressive law otherwise they stand to be opposed! Maadili ya nani? nani aliweka maadili hayo? Kwa makubaliano na nani?
Nnalo basi mdogo wangu.
Wewe ni darasa la saba! We are at very different levels of reasoning, particularly philosophical reasoning! Umewahi kusoma philosophy? Psychology? if yes, to what level!!Kwa nini una tii serikali, kwa nini unatii wazazi wako? Mbona unauliza maswali ya mtu asiyejitambua? Sipotwzi muda kujibu hoja kama hizi mkuu. Nenda kanye polisi kwa sababu humjui aliyeweka maadili. Ninyi ndio mnaosapoti hata mambonya hovyo, the way I see it
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Wrong on all accounts!! Hiyo phylosophy ya kutetea ujinga siitakii. Habari za let them be ni upuuzi. Kila kitu kwenye maisha kiko regulated, hata the way you reason kuna limitations! Rudi darasani kasome tena falsafa yako hiyoWewe ni darasa la saba! We are at very different levels of reasoning, particularly philosophical reasoning! Umewahi kusoma philosophy? Psychology? if yes, to what level!!
Read between the lines.Kuna kundi amelilaumu, read between lines, you will notice the base of his argument!