Madreva wanakwenda speed kuliko inavyostahili,wasafiri wanakaa kimya tu huku wakijua fika kwamba kosa dogo tu wanaweza kuwa vilema wa maisha au hata kupoteza maisha yao. Wengi hufurahia Dreva anapokimbiza kwa kudai wanafika haraka huku waendako bila kujali maafa yanayoweza kutokea kwa ajali. Wakati umefika sasa wa wasafiri kutokaa kimya pale wamuonapo dreva anaendesha kwa speed kubwa isiyostahili au anayapita magari mengine barab arani kwa namna ambayo inaweza kusababisha ajali.
apo bold sio haiandikwi na kutamkwa Iyovi??Ni kama ihovyi hiyo.
Mkuu enhee wasafiri wakimkemea dereva nini kifuate? Kwa nini asinyang'anywe hiyo leseni au hiyo kampuni yote ipigwe stop. Who can dare to intervene this n/mare?
Mie hilo la kunyang'anywa leseni naliunga mkono, lakini kama tuijuavyo Bongo njemba zinaweza kuingia barabarani bila leseni. Kitu kingine kampuni ambayo itaonekana kwamba Dreva wake ndiye chanzo cha ajali ipigwe faini kubwa labda itasaidia owners kuwatia adabu hawa madreva chinja chinja na hivyo kuwaondoa barabarani au waendeshe katika namna ambayo itasaidia kupunguza ajali za barabara.
Je kuna sheria gani ya kuwajibisha? Miafrika hatuna akili angekua mzungu hayo magari yangepigwa ban ya maisha na hao madereva wasingekaa tena kwa seat ya driver.
Jamani pamoja na wazungu kuwa na matatizo lkn wanatuzidi kwenye accountability, kwenye hili wako mbali faini mpk $2000, kufungwa nje nje tu. Sisi tunahitaji tuokoke katika ujinga huu lkn ni nani wa kutuongoza?
Nchi ngumu sana hii
Mengi ya Mabasi haya yanamilikiwa au wana-share na hao hao viongozi haya ni baadhi ni miongoni mwa hilo linalo-overtake
SUPER FEO-Makinda
BUDGET UPENDO-LUKUVI
SUMRY-PINDA
ABOUD-ABOUD
SHABIBY-SHABIBY
MORO BEST-MTEKETA (tetesi)
La ajali ya jana (Mwanza Coach) -GACHUMA/ZAKARIA na mengineyo mengi YAFUNGIWE WAKALE WAPI.
Uko vizuri
Aiseee kama ni kweli kazi ipo
Nnani mwenye guts hizo sasa?