O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,932 Reaction score 6,001 Apr 11, 2026 #21 Kiranja Mkuu said: Maarage ndio kidude gani? Yanaitwa maharage au maharagwe Click to expand... Mwenzio anazungumza kimaasai
Kiranja Mkuu said: Maarage ndio kidude gani? Yanaitwa maharage au maharagwe Click to expand... Mwenzio anazungumza kimaasai
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,932 Reaction score 6,001 Apr 11, 2026 #22 macho_mdiliko said: Kuna tip moja ya kupika maharage, Wakati unachemsha weka kitunguu kimoja kizima (menya maganda yake ya nje) ndani ya maharage kichemke na maharage halafu ukitoe baada ya kuiva. Click to expand... Sifa nzuri ya maharage ni gasi Sasa kitungui kitatoa gasi sitashiba itabidi nile plate za wali tatu kama wali samaki haushibishi.😁😁
macho_mdiliko said: Kuna tip moja ya kupika maharage, Wakati unachemsha weka kitunguu kimoja kizima (menya maganda yake ya nje) ndani ya maharage kichemke na maharage halafu ukitoe baada ya kuiva. Click to expand... Sifa nzuri ya maharage ni gasi Sasa kitungui kitatoa gasi sitashiba itabidi nile plate za wali tatu kama wali samaki haushibishi.😁😁