Namna nzuri ya kufanikiwa kwa mtaji mdogo wa pesa

Chukulia starehe kama gonjwa sugu, usizikaribie kwa miaka mitatu mfululizo.

Acha kubet, usiendekeze waganga wa kienyeji na usinunue vitu vya anasa.

Ishi kinyonge, watu wasijue kuwa unahela hata akiba ikifika milioni 50.

Toa hela upate hela, big risk big profit.
 
Sawa lakini kuna matumizi ya lazima Mr hapa imekaaje?
 
Chukulia starehe kama gonjwa sugu, usizikaribie kwa miaka mitatu mfululizo.

Acha kubet, usiendekeze waganga wa kienyeji na usinunue vitu vya anasa.

Ishi kinyonge, watu wasijue kuwa unahela hata akiba ikifika milioni 50.

Toa hela upate hela, big risk big profit.
VP kuhusu matumizi ya lazima?
 
Iko hivi, kabla ya kuanzisha biashara, ulikuwa una shughuli unayofanya, mfano, mpiga debe. Ulikuwa unakula wewe na mkeo, unaweka vocha nk. Ukazichanga mpaka ukapata mtaji wa kufungua genge, hili genge sasa mpe mkeo asimamie, huku mkiendelea kuishi kwa kipato cha kupiga debe. Mkianza mbwembwe za kubadili maisha kisa mna genge, mshafeli.

So hayo uliyoyaita matumizi yalazima sio kwamba siyajui, bali nafahamu mpaka umepata mtaji. Hayo uliyamudu kabla ya huo mtaji, ishi kama zamani, acha mtaji ujizalishe.
 
Iko hivi, kabla ya kuanzisha biashara, ulikuwa una shughuli unayofanya, mfano, mpiga debe. Ulikuwa unakula wewe na mkeo, unaweka vocha nk. Ukazichanga mpaka ukapata mtaji wa kufungua genge, hili genge sasa mpe mkeo asimamie, huku mkiendelea kuishi kwa kipato cha kupiga debe. Mkianza mbwembwe za kubadili maisha kisa mna genge, mshafeli.

So hayo uliyoyaita matumizi yalazima sio kwamba siyajui, bali nafahamu mpaka umepata mtaji, hayo uliyamudu kabla ya huo mtaji, ishi kama zamani, acha mtaji ujizalishe.
Hapa dawa ni kuishi kama zamani.
 
Chukulia starehe kama gonjwa sugu, usizikaribie kwa miaka mitatu mfululizo.

Acha kubet, usiendekeze waganga wa kienyeji na usinunue vitu vya anasa.

Ishi kinyonge, watu wasijue kuwa unahela hata akiba ikifika milioni 50.

Toa hela upate hela, big risk big profit.
Hapo kwenye kuacha kubet hapo pananihusu kabisa .... vijana kubet ni kupoteza pesa
 
Naomba kufahamishwa mimi kama mjasiriamali mdogo ni biashara gani naweza kufanya zikaniinua kiuchumi maana mtaji nilio nao ni mdogo.

Kama zitakuwa hata ni za kuingiza 10,000 kwa siku sawa tu.

Zaidi soma: List ya biashara zenye mtaji mdogo
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176
JPEG_20210328_095848_-740105850.jpg
 
Back
Top Bottom