Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,129
- 4,393
Anajua hawapo zile ni fiction za Moh.
Kwa hiyo tayari umejikwamua ki uchumi kwa bandiko hiliView attachment 3403138Aliyeweka hii Sauti alaaniwe vikali
Hama jukwaa mjumbeKwa hiyo tayari umejikwamua ki uchumi kwa bandiko hili
Ha ha ha ha ha 😂 😄 😆
Sawa mkuu.Hama jukwaa mjumbe
Hasira hazihitajiki hp
AIView attachment 3403138Aliyeweka hii Sauti alaaniwe vikali
100%
Kwani ayatollah ni Mungu wako we jamaa ? Kwa nini umtetee kwa matusi ???Ujinga ni mzigo
Utakuta naww kuna watu wanakutegemea !!!