Kufanya mapenzi na tendo la ndoa ni vitu viwili vyenye maana tofauti, mapenzi yanafanywa na wote hata wale mabazazi wakati tendo La ndoa hufanywa na walio kwenye ndoa tu, hili tendo huwezi kuliepuka unless wewe na mwenzi wako muwe na ratiba ya kukutana kimwili ambayo nyote mtaiheshimu, kama umeoa kaa na mkeo muelekezane namna ya kupunguza kufanya tendo badala ya kila siku basi angalau iwe kwa wiki mara 2 -3 hili linawezekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.