Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
Aliye itengeneza ndo mwenye jibu sahihi, otherwise you need muda mwingi na vifaa vyenye ubora.Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
Ila kunaweza kuwa na cipher zingine local tu mtu amejitungia na kuzipa maana, hizi ni rahisi pia kuzi-crack?Aliye itengeneza ndo mwenye jibu sahihi, otherwise you need muda mwingi na vifaa vyenye ubora.
Ukijua algorithm iliyotumika na key zilizotumika kuunda hiyo cipher inaweza kuwa rahisi kujua namna ya kucheza nayo hata hivyo kuna software kibao za zinazofanya kazi hiyo nyingi utumia dictionary na brute force sasa komaa
Sijawahi kusikia cipher ya kujitungia ili watakueleza wadau wengine nimesoma cryptography course hii kitu sijawahi isikia pia nina hadi vitabu sijaona hiyo kitu.Ila kunaweza kuwa na cipher zingine local tu mtu amejitungia na kuzipa maana, hizi ni rahisi pia kuzi-crack?
Daaah nikupe code ui-crack?Sijawahi kusikia cipher ya kujitungia ili watakueleza wadau wengine nimesoma cryptography course hii kitu sijawahi isikia pia nina hadi vitabu sijaona hiyo kitu.
Halafu uniambie maana yake?Sijawahi kusikia cipher ya kujitungia ili watakueleza wadau wengine nimesoma cryptography course hii kitu sijawahi isikia pia nina hadi vitabu sijaona hiyo kitu.
Ndugu yangu siku hizi sina muda mwingi na si access heavy computer hapa na hp g8 haiwezi kufanya chochoteDaaah nikupe code ui-crack?
Kama una access ya forensic software unaweza tumia nyingi zinafanya hadi siku tatu pc iko on sasa haka kapc si katakufa maana yanaganda kuliko hata hizo software za kuedit videoHalafu uniambie maana yake?
Duh! Kumbe codes una-crack kwa computer heavy? Mimi nina hp 630, RAM 8 GB, HDD 500, CPU 2.4!Ndugu yangu siku hizi sina muda mwingi na si access heavy computer hapa na hp g8 haiwezi kufanya chochote
Acha kupoteza muda hiyo sio pc hiyo ni Kwa simple cipherDuh! Kumbe codes una-crack kwa computer heavy? Mimi nina hp 630, RAM 8 GB, HDD 500, CPU 2.4!
Duuuh kwa hiyo kwa hard cipher, ni kwa PC gani sasa? Specification zipi?Acha kupoteza muda hiyo sio pc hiyo ni Kwa simple cipher
Minimum requirement atleast ukiwa na gaming pc unaweza kucrack baadhi ya cipher kwa harakaDuuuh kwa hiyo kwa hard cipher, ni kwa PC gani sasa? Specification zipi?
Na sio hizi PC za kawaida za work stations?Minimum requirement atleast ukiwa na gaming pc unaweza kucrack baadhi ya cipher kwa haraka
Hapo kigezo ni processor na GPU speed, na ndo maana nakuambia tafuta gaming pc zina kuwaga vizuri kwenye hizo specNa sio hizi PC za kawaida za work stations?
Duh, gaming PC iko portable kama hizi PC za kawaida?Hapo kigezo ni processor na GPU speed, na ndo maana nakuambia tafuta gaming pc zina kuwaga vizuri kwenye hizo spec
Yes zipoDuh, gaming PC iko portable kama hizi PC za kawaida?
In the nutshell , cryptography zipo za ain tatu,Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!