Namna gani naweza ku-crack cipher codes(cryptogram)?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
 
it depend na code yenyewe kuna code ukipewa mtatafutana hata 50 na still mtatoka patupu cracking cypher or even other code's and creating it's a pure art
 
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
Aliye itengeneza ndo mwenye jibu sahihi, otherwise you need muda mwingi na vifaa vyenye ubora.

Ukijua algorithm iliyotumika na key zilizotumika kuunda hiyo cipher inaweza kuwa rahisi kujua namna ya kucheza nayo hata hivyo kuna software kibao za zinazofanya kazi hiyo nyingi utumia dictionary na brute force sasa komaa
 
Ila kunaweza kuwa na cipher zingine local tu mtu amejitungia na kuzipa maana, hizi ni rahisi pia kuzi-crack?
 
Crack Bitcoin.. haya mambo yanawenyewe yakitushinda sisi tunaanza kusema Freemason..😂
 
Ila kunaweza kuwa na cipher zingine local tu mtu amejitungia na kuzipa maana, hizi ni rahisi pia kuzi-crack?
Sijawahi kusikia cipher ya kujitungia ili watakueleza wadau wengine nimesoma cryptography course hii kitu sijawahi isikia pia nina hadi vitabu sijaona hiyo kitu.

Zipo algorithm zinazotumika kuunda cipher na kuicrack cipher NI sawa na wewe kuweka password Kwa maneno yako/plain text kisha kuna algorithm kwenye hiyo app/software inaconvert kuwa cipher/maneno yasiyoepeweka humo kuna keys, text yenyewe na additional info huwa ignored wakati wa kuicrack.

Sasa ukisema maneno ya kujitungia sielewi labda hiyo plao. Text mfano password
 
Ndugu yangu siku hizi sina muda mwingi na si access heavy computer hapa na hp g8 haiwezi kufanya chochote
Duh! Kumbe codes una-crack kwa computer heavy? Mimi nina hp 630, RAM 8 GB, HDD 500, CPU 2.4!
 
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
In the nutshell , cryptography zipo za ain tatu,
1. private key/secret key/symmetric cryptography
2. Public key/asymmetric cryptography
3. Hash function cryptography

Kam wadau wengine walivyosem ,most commonly used encryption zinatumia encryption algorithm ya mojawapo kat ya hizo tatu...!

Back to your QN. Ili uweze Ku decrypt/decipher encrypted string , kwanza inabid kufaham ni ain gani ya encryption iliotumika..! Baad ya hapo ndo unawez kuanza mchakato wa kufanya decryption.

NB. Kun encryption nyingine zinahitaj heavy computing resources during decryption.

Hope nime shed some more light on the subject matter.
 
Back
Top Bottom