Mkuu Kimbunga.Mkuu CCM waliingia Dodoma wakiwa vipandevipande ila wanatoka huko wakiwa kitu kimoja. Magufuli anakubalika kotekote. Na Lowassa atasimama na kusema amevunja kundi lake na sasa ni kundi moja la CCM.
Mbona alipokuwa ardhi alisikika akanda kwenye vitoweo pia akasikika vyema kwa utendaji kazi wake. UKAWA watagawana jamvi kwa kuwa matumaini ya ushindi hakuna. Walitegemea CCM isimamishe mgombea dhaifu ili washinde na kugawana madaraka, sasa chances za kugawana madaraka hakuna hivyo wataangalia Ruzuku kwa kusimamisha mgombea kila chama. Tupo hapa na time is about to tell all.
Huu ni umalaya wa kisiasa. Huna msimamo. Hajui ushike lipi uache lipi. Hivi Kwanini lakini??
CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado wangeshinda tu achilia mbali Dr.Magufuli.
Unawaongelea UKAWA wenyewe kwa wenyewe hawapatani kila mmoja anataka kuwa mgombea.
Unadhani CUF na NCCR Mageuzi watakubali kuburuzwa na Chadema wabunge wengi watoke Chadema na bado wapewe mgombea urais.
Mkuu Kimbunga.
Watu wanapenda sana kujipa matumaini na kujifariji wanasahau kuwa Dr.Magufuli ndiyo waziri peke wa JK ambaye kaonyesha kweli ni mtendaji.
Bahati nzuri Dr anaijua Tanzania vizuri hamna kijiji asichokijua.
ndotoza mchana !! kama CCM wangekosea na kuweka vibaka ama wengine sawa. Lakini kwa MWALIMU WA KEMIA hakuna silaa wala slaa wala salaaaa, watanzania wanamjua magufuli !! tena kwa positive !![/QUOTE
1. Makofili Ni mwizi
2.dictator
3. Mtu kwenye majivuno
4.malaya, anaiba anajengea malaya
5. Anadharau wananchi. Nyingine ongezea Nina imani unajua na unazo ILA unataka ukweli uwe huongo
magufuri ni mwepesi kuliko pamba .Kikwete katupa nchi bila ya Jasho sisi UKAWA,Asante sisi haoooooo IKULU UKAWA
ndotoza mchana !! kama CCM wangekosea na kuweka vibaka ama wengine sawa. Lakini kwa MWALIMU WA KEMIA hakuna silaa wala slaa wala salaaaa, watanzania wanamjua magufuli !! tena kwa positive !!