Namna gani hapa UKAWA wanapata penati!

Namna gani hapa UKAWA wanapata penati!

Mkuu kwa maisha ya sasa tuliyo nayo,alafu mtu ajitokeze kuishangilia ccm ujue ni mawili:..1:mtu huyo ni mnufaika mkubwa wa ufisadi unaotendwa na viongozi walio ndani ya system ya ccm...2:..huyo mtu ni mbumbumbu hajui nchi inakwenda wapi,na anafuata mkumbo.

jamani mwambie hâta ndugu yako na familia yako hâta na rafiki hâta yule usiyemjua khali halisi ya nchi hii na wasikubali kutoa kura Yao kwa kanga, kofia, t-shirt na hâta elfu tano zao, tulinde kura zetu mpaka kucheee, tusisahau kujiandikisha...... Maana ccm kashajisahau
 
Mkuu chato ipo mkoani Geita ambapo cdm wanafanya vizuri sana,kabla ya hapo ilikuwa wilaya ya muleba ambapo cdm wamezoa mitaa 25 kati ya 28 ya mama tibaijuka

asante mwaegoooo..... Ndiyo ritz anasema makofili ni jembe, si angeshinda jimboni kwake kwanza❓❓❓❓ yaani tusiache kupiga kura na kuzilinda mpaka kucheee fisadi asiibee
 
Hakika timu ya Lumumba FC imenishindwa kabisa kucheza kwa maelewano. Inasemekana kocha na bench lake amepanga timu anavyojua yeye kiasi cha wataalam wengine wa bench la ufundi kuzira. Kuna straika anaitwa Edo Boy anacheza rafu sana huyu sasa kocha kampiga pini yuko bench. Imeleta tafrani sana......Pale safu ya ulinzi Lumumba FC ni dhaifu sana, hawajiamini kabisa ndugu msikilizaji....Inapigwa cross fupi toka winga ya kulia, inatokea piga nikupige langoni mwa Lumumba FC....Penaaaat....namna gani hapa UKAWA wanapata penati, namuona mpigaji makini wa mipira hii Peter "Magoli" akijiandaa...Hali ni mbaya kwa Lumumba FC wanalalamikiana hapa na kurushiana matusi makali,jukwaa la Lumumba wanapiga makofi na kuimba Edo,...Edo....Edo...kocha anakosa la kufanya!

aje magufuli ukawa ushindi ni lazima sisi hatuangalii mtu tunaangalia na chama alichomo
kina ajenda gani??

ukawa tuna ajenda ambazo hata magufuli hawezi tia mguu hawazi kabisa kufurukuta

1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 mengine mtaongeze

kwa hayo niliyo yaainisha hapo juu sidhani kama yanaweza kuwemo kwenye ilani ya CCM ambayo kama magufuli ateuliwa kugombea uraisi itabidi ainadi,

kwa mantiki hiyo pamoja na uchapakazi wa maghufuli hizo ajenda hapo juu hawezi zigusa labda kama hajipendi,

kwa jinsi ninavyo wajua ccm kwenye ilani yao watakuja na ahadi za ulaghai, kama kuongeza mishahara, kujenga barabara, kununua meli, na vivuko

ajenda nzito zinzoweza inua uchumi wa nchi kwa miaka mitano hawawezi kuzikubali wakabaki salama
hizo ajenda zitawezekana tu tukiwapa nchi ukawa, kama mnampenda mghufuli mchukueni mkanyywe naye chai
 
jamani mwambie hâta ndugu yako na familia yako hâta na rafiki hâta yule usiyemjua khali halisi ya nchi hii na wasikubali kutoa kura Yao kwa kanga, kofia, t-shirt na hâta elfu tano zao, tulinde kura zetu mpaka kucheee, tusisahau kujiandikisha...... Maana ccm kashajisahau

Mkuuu hilo ndio jukumu la kila mpenda mageuzi na kupata maisha ya amani kwa kila mtanzania
 
You are very right mazee ..ukiona boss anafika ofisini saa 12 asb basi we dogo unatakiwa uwahi kabla yake likewise wale waliozoea kuzigeuza ofisi vijiwe wajue sahivi ni mwendo wa kazi mwanzo mwenga
 
aje magufuli ukawa ushindi ni lazima sisi hatuangalii mtu tunaangalia na chama alichomo
kina ajenda gani??

ukawa tuna ajenda ambazo hata magufuli hawezi tia mguu hawazi kabisa kufurukuta

1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 mengine mtaongeze

kwa hayo niliyo yaainisha hapo juu sidhani kama yanaweza kuwemo kwenye ilani ya CCM ambayo kama magufuli ateuliwa kugombea uraisi itabidi ainadi,

kwa mantiki hiyo pamoja na uchapakazi wa maghufuli hizo ajenda hapo juu hawezi zigusa labda kama hajipendi,

kwa jinsi ninavyo wajua ccm kwenye ilani yao watakuja na ahadi za ulaghai, kama kuongeza mishahara, kujenga barabara, kununua meli, na vivuko

ajenda nzito zinzoweza inua uchumi wa nchi kwa miaka mitano hawawezi kuzikubali wakabaki salama
hizo ajenda zitawezekana tu tukiwapa nchi ukawa, kama mnampenda mghufuli mchukueni mkanyywe naye chai

Kweli kabisa mkuu kwa hayo yote yaliyo kipaumbele cha ukawa magufuri hagusi kwani akigusa atakuwa hajipendi,kwa kuwa atakuwa anaingilia maslahi ya waliomuweka madarakani,kitendo ambacho ni hujuma kama tulivyo shuhudia bi kidude akishindwa kulinda hadhi ya bunge.
 
Mkuu kwa maisha ya sasa tuliyo nayo,alafu mtu ajitokeze kuishangilia ccm ujue ni mawili:..1:mtu huyo ni mnufaika mkubwa wa ufisadi unaotendwa na viongozi walio ndani ya system ya ccm...2:..huyo mtu ni mbumbumbu hajui nchi inakwenda wapi,na anafuata mkumbo.

ni kweli, wajua watu hao inabidi walinde ccm ili nao maisha yaweze kwenda na kuwadanganya wananchi wa kawaida kuwa ccm ni chama safi ili waendelee kulinda chakula chao
 
Huo ndio ukweli lkn sasa naona mwisho wake umetimia
 
Wadau

John Joseph Magufuli,haja_experience ktk diplomacy economic kama LOWASSA na MEMBE..kuna kazi ya ziada mbele ya UKAWA ktk kampeni.

Magufuli alipotolewa ktk wizara ya ujenzi hakusikika tena mpaka aliporejeshwa tena..ana uzoefu wa kazi za field zenye kuhitaji mihemko,urais hataweza kwani ni mtu wa casual works.

Kazi imekuwa rahisi kwa UKAWA kwani watakutana na wananchi wenye ghadhabu wanaomuulizia mtu wao ambaye ni EL,tayari kuna taharuki kote nchini ambayo ikitumika na upinzani matarajio ya ccm itakuwa ZERO.

Arusha tayari maeneo mengi bendera za ccm zimeshushwa baada ya 'mtu wao' kukatwa.

Hebu fikiria team ya kampeni ya UKAWA..Mbowe na Makaidi tuwakabidhi kusini,nyanda za juu mpaka Moro,Mbatia tumpeleke Magharibi,Lipumba apige Pwani,wote wawaulize wananchi MTU WENU YUPO WAPI kama propaganda,itawarahisishia kazi.

Hali ya ccm imekuwa mbaya zaidi,hii ni baada ya kumwachia EL kujijenga na hakika itawagharimu na Magufuli wao anayetaka kushinda na kuanza safari za kwenda KUJITAMBULISHA NJE
 
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
 
Naona umepagawa sasa umeamua kuwa mtangazaji mpira...Daah ngoja nikuambie kitu CCM hata wampitishe Mzee Majuto bado atamuacha mbali Dr.Slaa na UKAWA yenu achilia mbali Dr.Magufuli jembe.

Kumbe MzeeMajuto anatosha hilo unaloliita jembe la nini tena silingebaki liendelee kuchonga barabara Chana cha mapesa kazi kwelikweli ==$===%
 
Ukiona nchi inaongozwa miaka 50 na chama kimoja, hiyo ni nchi ya wajinga.
 
aje magufuli ukawa ushindi ni lazima sisi hatuangalii mtu tunaangalia na chama alichomo
kina ajenda gani??

ukawa tuna ajenda ambazo hata magufuli hawezi tia mguu hawazi kabisa kufurukuta

1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 mengine mtaongeze

kwa hayo niliyo yaainisha hapo juu sidhani kama yanaweza kuwemo kwenye ilani ya CCM ambayo kama magufuli ateuliwa kugombea uraisi itabidi ainadi,

kwa mantiki hiyo pamoja na uchapakazi wa maghufuli hizo ajenda hapo juu hawezi zigusa labda kama hajipendi,

kwa jinsi ninavyo wajua ccm kwenye ilani yao watakuja na ahadi za ulaghai, kama kuongeza mishahara, kujenga barabara, kununua meli, na vivuko

ajenda nzito zinzoweza inua uchumi wa nchi kwa miaka mitano hawawezi kuzikubali wakabaki salama
hizo ajenda zitawezekana tu tukiwapa nchi ukawa, kama mnampenda mghufuli mchukueni mkanyywe naye chai

yaani unaakili sana nimekupenda bure, yote yanawezekakana maana Tanzania yetu ni tajiri sana kwamaana hiyo budget ikiwekwa yote yanawezekana, inaniuma zaidi mama yangu, baba yangu, ndugu zangu na rafiki zangu wakiumwa wanalazwa chini mahospitali dawa hamna huku dr anamuangalia mwenye nacho, fisadi kaenda tibiwa South Africa ugerumani ama India kwa pesa nyingi na huku wanatembelea magari ya bei, maskini uliyemchagua utajiju. Nayo ndiyo maisha bora kwa Kula mtanzania❕❕
kwanini wote tusitibiwe hapa nchini, kwanini mjinufaishe nyie tuu❔❔❔ huo Ni ubaguzi hata mwenyenzi mungu hapendi.....
nikuchague mie wewe upate raha na maisha yako miye nipate shida..... Haiwezekani
 
...

....Hata kidogo kule Arusha kimefutika

Magufuli ni janga jingine kwa watanzania,nje ya nchi sana sana anajuana na ODINGA.

Hatutaki safari za kujitambulisha nje ya nchi..

Ikulu haina maamuzi ya haraka haraka kama TANROAD.
 
Kuzungumziwa vijiweni ndo inabadili msimamo wako?
 
Mwenye uzoefu na urais Tanzania ni hayati Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, na Kikwete, bhaaaaas!
Urais hausomewi!
Ila Kamuulize Halima Mdee kuhusu Magufuli.
 
rowasa mteuweni awe rais wa kaskazini kupitia chadema,,magufuli ndio anafaa,kama EL ndio ccm na imekufa mchukuen nyinyi,WABONGO BWANA NAHISI TUMEROGWA KUPITA KIASI NA EL.
 
Back
Top Bottom