Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,001
- 134,196
Hakika timu ya Lumumba FC imenishindwa kabisa kucheza kwa maelewano. Inasemekana kocha na bench lake amepanga timu anavyojua yeye kiasi cha wataalam wengine wa bench la ufundi kuzira.
Kuna straika anaitwa Edo Boy anacheza rafu sana huyu sasa kocha kampiga pini yuko bench. Imeleta tafrani sana.
Pale safu ya ulinzi Lumumba FC ni dhaifu sana, hawajiamini kabisa ndugu msikilizaji....Inapigwa cross fupi toka winga ya kulia, inatokea piga nikupige langoni mwa Lumumba FC.
Penaaaat....namna gani hapa UKAWA wanapata penati, namuona mpigaji makini wa mipira hii Peter "Magoli" akijiandaa.
Hali ni mbaya kwa Lumumba FC wanalalamikiana hapa na kurushiana matusi makali,jukwaa la Lumumba wanapiga makofi na kuimba Edo,...Edo....Edo...kocha anakosa la kufanya!