careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
Asante! Yaani natoka nikirudi ndani najikuta daaah!Ukipachoka unapoishi kama umepanga fanya mpango uhame, kama ni kwako na pesa ushasema huna pambana na mazingira kwa namna ingine;Jipee shughuli mbalimbali ambazo hazitakufanya ukawa idle muda mwingi, lima bustani, panda maua ilimradi uwe na shughuli na uyaepuke mawazo. Tembelea hata marafiki ubadilishane nao mawazo. ITASAIDIA.
Mkuu ukitaka kurefresh mind, andika riwaya yoyote hata ya page kumi tu.Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Lala.
Unabadili fikra zako kutoka kwenye majuto na kuwa na amani ya kwamba 1 time utatoboa na ujione ni sawa na watu wengine wenye mafanikioYaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Doh! Tatizo langu nachagua balaaaa haaaa sanyingine natamani lakini sasa mchepuko mwenye vigezo ndio mtihani kumpataNjia bora ni kupata mchepuko mpya, utakuwa bize na simu kila saa na stori tamu tamu!
Haaaa sawa mkuu nakunywa savanaTunyweni bia jamani
Hivi riwaya ni hadithi enh? Maana doh!Mkuu ukitaka kurefresh mind, andika riwaya yoyote hata ya page kumi tu.
Utashangaa.
Acha ujinga...kama huna akili huwezi kujua akili imesimama..huwezi kunotice mabadiliko kwenyewili au akili yako...Unaweza kudhani akili imechoka, kumbe akili yenyewe hata hauna!
Sasa mi ndo papuchi mwenyeww jaman doh!Hakuna kama papuchi!
Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?