Namna bora ya kukata roho

Mm nimefeli kwenye stral projection. Hapa inabidi uingie rohoni ndo umuombee vzr ambayo ni astral ama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tunapoingia vyumbani mwetu na kufunga milango kisha kusali... Hapa ndio mahali unapokutana na Mungu wako aliye sirini katika uhalisia wake
Leo kama wewe ni mkristo sali sala ya Baba yetu uliye mbinguni....! Sali kwa imani sali kwa tafakuri, sali kwa kumaanisha na kumakinika utaona tofauti kubwa na siku nyingine zote... Utaona ufunuo wa ajabu..

Jr[emoji769]
 
[HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] jr hiyo "seeing beyond yanini" kwani tumekwambia sisi waingeleza

17 PHD these are results
 
Niliingia ulimwengu wa roho kimyakimya kumsaidia uhai, mapambano. Ni kupitia huko nilimuona akielea mbali kabisa na mimi. Alikuwa mwepesi na mwenye kasi ya ajabu. Nilirudi kimwili na kumuona akijaribu kupepesa macho huku madaktari kwa juhudi kubwa wakifanya hand pumping, mashine ilikuwa imeshashindwa kazi.

sankrit mantras!!!
 
Hare rama! Rama rama hare hare...!

Jr[emoji769]
 
Mshana naomba kuuliza kwann binadamu akizaliwa mpka afundishwe kuna baya kuna hatari hizi na hzi lakini ni tofauti kwa wanyama labda panya hata akiwa mdogo anafahamu kuna hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeeleweka bila Chenga.....!!

Dini ya Islam, imeeleza vizuri swala hili, nyakati za mwisho za Roho (si Binaadamu)

Huu ni wakati ambao Roho inapambana kutaka kutoka katika Kiwiliwili cha Mwanaadamu na kwenda/kuwa katika free Zone (Area)

Huu ni wakati ambao Mwanaadamu, anapambana kutaka kuibakisha Roho, ama Uhai wake, katika Mazingira ambayo yameshaa kuwa si rafiki tena kwake.
Roho inapanga kukuacha na kwenda zake iwe katika Nuru ama Kiza.

Dini hii (Islam) inamfundisha Muumini, hasa yule anayekuwa karibu na Mgonjwa, awe ni mtu anayeweza kusoma alama za nyakati...

Yapo mafundisho (Maombi) ya kumuongoza Mgonjwa, hasa pale unapogundua yuko katika "Bageining", mashauriano au majadiliano na Roho yake, yote hii kumsaidia, atakapo fumba macho (kukata Roho) iwe rahisi kwake, akiwa kuzimu, Kiwiliwili chake kikukutane na Roho yake kwa Amani, ili kuanza maisha mapya katika safari kuelekea Paradiso...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…