Namleta kwenu Nyoka wa KINONDONI

Namleta kwenu Nyoka wa KINONDONI

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,463
Na huyu ndie nyoka wa kinodnoni..
 
Huyu nyoka wa Mwanza Nyegezi.🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
'Playing dead' ni tactic inayotumiwa na wanyama wengi kuepuka kuliwa, maana predators wengi ukiacha fisi na yale mandege ya mizoga huwa hawali vibudu
 
'Playing dead' ni tactic inayotumiwa na wanyama wengi kuepuka kuliwa, maana predators wengi ukiacha fisi na yale mandege ya mizoga huwa hawali vibudu
Huyu nitamleta kwenu kwa ufafanuzi zaidi,hana sumu na haumi,siraha yake ndo hiyo kujifanya kafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo nyoka technics yake pale anapokutana anapohisi anataka kudhuliwa hujifanya amekufa...

Kuna ambao hujikausha mpaka kutoa harufu kama ya mzoga kaoza...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom