Hbr wapendwa?
Nina mpenzi wangu yapata mwaka mmoja sasa.
Nampenda sana hasa anavyojituma kitandani. Binafsi nimekuwa nikimpa dozi ya maana maana mi nina uwezo wa kupiga mechi usiku kucha. Ila maranyingi tukishapiga kama mara tatu hivi huwa anasema kachoka hivyo tunatulia kwa muda.
Tatizo ni kwamba licha ya yote haya mpenzi wangu ajawahi kufika kileleni hata siku moja.
Huwa naongea nae na maranyingi anaonesha kushangaa maana ajui kama mwanamke anaeza kufika kileleni.
Ila anadai huwa anaenjoy sana tukigegedana, ananipa kila sifa na huwa naona kweli anaenjoy kupitia jinsi anavyojituma.
Simlaumu mpenzi wangu na wala sina mashaka nae maana tunapendana upendo wa kweli.
Ila naomba mchango wenu wadau au mwanamke anaweza kuenjoy bila kufika kileleni? Mkinishuri nifanyeje pia nitashukuru sana ndugu zangu.