Namkumbuka lakini simtamani

Namkumbuka lakini simtamani

nasisitiza tena na tena usithubutu.. too much wivu ktk mapenzi haufai kabsaaa unakukosesha hata amani yani kila utakachofanya atahis unamcheat... mimi kuna siku nlienda kununua ndizi za kuchoma na kitimoto( sory kama we ni muislam) bar akapiga simu kulikua na mziki mkubwaa + makelele ya walevi weeeh hapakutosha asee ilikua vurumai et..ila mi nachomkumbukia ni mipesa yake tu...

..kimbembe sasa upate asiye na hela..lol..
wanawake mda shida Sana..
 
endelea kunimendea tuuu........na unavyojipa mahope utajuteje......

We jipe moyo tu. Lazima nikulaze kwenye sita kwa sita yangu. Baada ya hapo itakuwa zamu yako kunimendea.
 
Huko elimu ya juu mnafundishwa kuandika kwa kutumia vifupisho na bila kuweka parandesi?
 
Alaaa, ndiyo imeisha!!???

Kweli hii "kan'tangaze!!!
 
Kwel akl yako haijafunguka.co lazma uajriwe
Sio lazima uajiriwe but ujiajiri au usijiajiri kote kunahitaji smartness!
Au wewe utauza kwa wasiojitambua na bidhaa yako itakuwa kama ya Tanesco?
 
Sio lazima uajiriwe but ujiajiri au usijiajiri kote kunahitaji smartness!
Au wewe utauza kwa wasiojitambua na bidhaa yako itakuwa kama ya Tanesco?

U never know
 
Huko elimu ya juu mnafundishwa kuandika kwa kutumia vifupisho na bila kuweka parandesi?

Kama unataka kuandka kwa ufasaha kasome jukwaa la wakubwa kule..au umr haukuruhusu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom