Nadhani ni kupamba kisha kusherekea....kateni kiuWewe unahs nn kfuatach I.t.v???
Usjaleee doct ninae kuamnia..nna mtu anane npa joto..hayo n mawazo ya muda tu yaan n dak 1 kat ya 5
umeshategua mtego kumbe lama yuko right huyo uliyenae ndo umemuona mali kuliko yule wa zamani ssa unakuja na visingizio kibao lakini kumbuka usiache mbachao kwa msala upitao !!
heee mimi avatar yake tuuu na jina kan'tangaze