Namkumbuka lakini simtamani

Namkumbuka lakini simtamani

Hapana siwez kurud kwake tena...I thougth hata yey kagv upo ktambo upon m..penz llshakufa

and dont dare to even think of going back to him,, sikushauri kabsaaaa mi mwenyew nlikua naye wa hivohivo but as days goes nlimsahau tu...be strong enough my dear utamsahau tu,...
 
and dont dare to even think of going back to him,? sikushauri kabsaaaa mi mwenyew nlikua naye wa hivohivo but as days goes nlimsahau tu...be strong enough just my dear utamsahau tu,...

Thanks. .naufanyia kaz ushaur wako uzd kunpa nguvu coz sfkirii kabsaaaa kurud kwake
 
Thanks. .naufanyia kaz ushaur wako uzd kunpa nguvu coz sfkirii kabsaaaa kurud kwake

nasisitiza tena na tena usithubutu.. too much wivu ktk mapenzi haufai kabsaaa unakukosesha hata amani yani kila utakachofanya atahis unamcheat... mimi kuna siku nlienda kununua ndizi za kuchoma na kitimoto( sory kama we ni muislam) bar akapiga simu kulikua na mziki mkubwaa + makelele ya walevi weeeh hapakutosha asee ilikua vurumai et..ila mi nachomkumbukia ni mipesa yake tu...
 
Kama huna mpango nae huna sababu ya kueleza hapa
 
Hivi ndo umesema upo Chuo(elimu ya juu)?
Ukitoka unaenda soko lipi la ajira?
Given
Possibility ya candidate ku-pass interview ni 70/10800 yaani 7/1080 au 0.0064 au 0.6%!

Kwel akl yako haijafunguka.co lazma uajriwe
 
nasisitiza tena na tena usithubutu.. too much wivu ktk mapenzi haufai kabsaaa unakukosesha hata amani yani kila utakachofanya atahis unamcheat... mimi kuna siku nlienda kununua ndizi za kuchoma na kitimoto( sory kama we ni muislam) bar akapiga simu kulikua na mziki mkubwaa + makelele ya walevi weeeh hapakutosha asee ilikua vurumai et..ila mi nachomkumbukia ni mipesa yake tu...

Ha ha ha ha haaaaa.shost acha tu.hapo kwenye ela hata mm pia napakumbuka mwaya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom