Mbudu alishaondoka RFA yuko Times fm ikuhiziMazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Yeah sureMbudu alishaondoka RFA yuko Times fm ikuhizi
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job.
Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis Mwasalanga husoma magazeti. Ana something special compared to others hasa kuchombeza maneno fulani na kuongoza mjadala.
Nafikiri ana deserve kuwa kwenye media inayojielewa due to his creativity na sio RFA ambayo kwasasa imechoka kweli.
Huu ni mtazamo wangu
Sio kwamba ni wavumilivu, tatizo ni ajiraKweli kabisa Watangazaji wapo Royal hawajayumba na wamepitia kwenye changamoto nyingi sana mpaka leo bado wapo!!