Elections 2010 Namkaribisha kikwete UDSM kwenye midhalo ya kumkumbuka Mwl Nyerere

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Mada kuu zitakuwa,pan africanism,jumuya ya afrika mashariki,vijana na mustakabali wa taifa letu,njoo ushiriki kumuenzi mwasisi wetu
 
Wewe siyo mzalendo hata kidogo na humtakii mema rais wetu mpendwa, si unajua kuwa ana mzio na midahalo? Au unataka anguke hadharani tena, wenzio kwenye kampeni zake wanamjulia akisikia dalili za kuzimika anawahiwa kwenye chopa lake ili watu wasione mapovu yanamtoka mdomoni sasa hapo Nkuruma ikitokea si noma hiyo? Kuwa mzalendo bana!
 
Kwanza Kama midahalo yen inahusu kiingereza nod atakimbia kabisaaaa
 
jamani mwacheni JK yeye anaamini midahalo ni kwa watu wasio na nafasi ya kutenda, ila kwa wenye nafasi ya kutenda kama yeye anaona kuwa matendo yanajieleza zaidi kuliko maneno lakini hafahamu kuwa watanzania wengi hawaoni hayo matendo (tena ni matendo Mema) kama anayojitahidi kuyatetea.
 
Hamna huruma nyie! mwenzenu yuko katika hali mbaya hivi sasa halafu mnaleta mialiko yenu ya midahalo, hebu mwacheni atumie nguvu zake kurudisha imani iliyotoweka sio kusimama kwenye midahalo ambayo isije ikaishia kwa yeye kutoa ahadi kuwa akirudi madarakani ataifanya Nyerere day mara moja kila mwezi.
 
ila hao watoa mada ulimwengu ,butiku si patachimbika apo jamani
tene namwomba butiku asisahau kuzungumzia,mchango wa kikwete kukwamisha ujenzi wa taasisi ya mwl nyerere ili umma ufahamu kiundani
 
Watu mbona mnamchukia kikwete hivyo, aende kwanini aende!? mnataka aongee nini?
 
mkuu jeykey akikanyaga udsm si unajua wanafunzi tuna aleg na thithiem tutampiga mawe bureee,na hata ukumwalika anaogopa kuja maana anaelewa wasomi hatumtaki,tutaitisha revo square tuanze kumwimbia solidarity forever
 
Umenikumbusha kitu. Kuna mwanafunzi wa UDSM jirani yangu alikuwa anaimba mara kwa mara maneno hayo. Nilidhani ameyatohoa tu kichwani mwake. Kumbe yatokea huko Mlimani!
 
Umenikumbusha kitu. Kuna mwanafunzi wa UDSM jirani yangu alikuwa anaimba mara kwa mara maneno hayo. Nilidhani ameyatohoa tu kichwani mwake. Kumbe yatokea huko Mlimani!

yani siku kukiwa na mgomo pale chuo hilo songi lazima tulipige kwa sauti kuuu
 
Back
Top Bottom