figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
mimi nliweka chit chat. sema huyu Roulette atafurahi siku akisikia figganigga amekufa. lakini kwa uwezo wa Mungu ntaishi. coz anatamani kuona spost kitu chochote chitchat. miaHii ni jamii photo sasa kulikoni
umeona eeehh..!!!???.miaManeno hayo........
Mbona anafahamika sana tu. subili atakupm kama humjui.jina lake linaanza na Ob. miaTupia jina lake.
Tuanze kumchambua bhana.
wa humu humu jf.miani wa humuhumu JF umpendaye au wa kitaa?
weka mambo hadharani! mia
nikikikuona hata nisipo cheka moyo wangu utatabasamu. miausicheke wewe vipi.
nikikikuona hata nisipo cheka moyo wangu utatabasamu. mia