Nami leo nafunguka kutafuta rafiki wa kike, ambaye hatimaye atakuwa mke

mnh wanaume picky kama huyu wanakuwaga na gubu sana,umejitokea zako mbali huko umechoka,unalikuta limenuna tu bila sababu....:thinking::bump::hand::pray::A S 13:

Neema unaonekana kuchukizwa na kuniona mie picky, na wakati nilizoweka ni sifa tu za kawaida. Je ningesema awe na bikira si ungeandamana!
 
Neema unaonekana kuchukizwa na kuniona mie picky, na wakati nilizoweka ni sifa tu za kawaida. Je ningesema awe na bikira si ungeandamana!

walaaaa,ningekuambia tu vizuri umba wako,custom made...nataka **** liwe hivi,shingo iwe vile ni watu wanaojiona ni bora zaidi ya wengine,:thinking:
 
kuna yupo kitaa hapa nahis atakufaa naomba nikuunganishie mkuu ana vigezo karibia vyote.
 
Wewe KOKUTONA, sifa nitaweka iwapo kuna interested member anayemeet criteria zangu. Isitoshe muhimu nimeshazitaja

Haya mekuelewa kaka. But, nina wasi wasi sana km utaeza pata wa sifa zote hizo in collection. But all the best on your search, may be you will be luck some days.
 
walaaaa,ningekuambia tu vizuri umba wako,custom made...nataka **** liwe hivi,shingo iwe vile ni watu wanaojiona ni bora zaidi ya wengine,:thinking:

Jamani mie sio bora kuliko wengine. Kwani sifa ipi inayokufanya uniambie hivyo? Mbona za kawaida tu.
 
Tusichukulie hili swala kibinadamu tu,wewe unataka kupata rafiki mwenye sifa hizo je mwenzako atavutiwa na nini kwako bila wewe pia kutabanaisha? Na pia katika kutafuta mpenzi usitumie akili yako,mshirikishe aliyekuumba kwani kwa wakristu tunasema mke mwema hutoka kwa bwana si kwa mawazo yako binafsi, mwombe mungu wako akufunulie, na imani muda ukifika utampata na anaweza asiwe mwenye hivyo vigezo ulivyovitaja.
 
Nimemshirikisha, naamini ataniongoza. Unajua hata tukimshirikisha Mungu ile hali ya kibinadamu haiishi kabisa. Ahsante kwa ushauri Comi
 
"Awe hajawahi kuachana na mpenzi wakew kwa kufumaniwa " naona hii umeisahau.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom