Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
Huyo mtoa hoja anataka kutuondoa kwenye focus. SLAA is our target; no matter what...
Hii ni kweli kweli tupu Mkuu, Asante sana.Kubwa zaidi kaishinikiza ccm kukubali na kuanzisha mchakato wa kuwa na katiba mpya,kitu ambacho nccr ilikua na malengo hayo lakini wakanunuliwa wakanyamaza
Mbowe for presidency 2015..
data zina mbeba na the guy he's analytical too
ila ubunifu Mbowe funika bovu
kuanzia opereshen Sangara,vazi,na wanachokiita udikteta kusimamia yanayopitishwa na kamati
Hivi unadhani kila mwanachadema anamkubali Slaa? Halafu hoja ya Slaa na Urais umeileta wewe, hapa mimi sijadili mambo "yenu" ya urais mimi namtazama Mbowe kama kiongozi wa chama cha siasa aliyekikuta kikiwa kinaitwa chama cha wachaga mpaka sasa na wakerewe nao wamo!!Huyo mtoa hoja anataka kutuondoa kwenye focus. SLAA is our target; no matter what...
na slaa je?
Ni kweli ana uwezo lakini ili uwe raisi ni mpaka watanzania wakukubali. Mbowe alishagombea uraisi na wala hakumfikia Mrema wakati huo. Hivyo suala la ni nani anagombea ndani ya chama lazima liangaliwe kwa mapana zaidi. Slaa aliongeza sana imani ya watanzania kwa CDM.Hakika mimi namzimikia huyu Kamanda Kivuli cha kamanda MBOWE kinamtishia kila Mtu wa Magamba ukianzia na JK mwenyewe. Akitangaza maandamano ya kusema ONDOKA JK nakuhakikishia hali itatisha, na itatimia. MBOWE ni mbunifu yuko IMARA. Anaweza kuwa rais na kuleta maendeleo ya dhati