Nameza Mkuki leo BARCA asiposhinda Nou-camp!!

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,700
Line kama kawaida huku tukiwa na support ya Abidal na kocha wetu akiwa uwanjani TITO Vilanova wote wakiwa wametoka ku recover cancer
Inajulikanaga kama kawaida tUkiwa uwanja wa nyumbani huwa tunaongeza concentration ya mechi,huku tukiwa wakali kama Andres Ineista alivyoahidi tu tunacheza zaidi ya fainali,Mtaalamu messi(the marvolous) akitoka ku recover injury ambayo ilimfanya akose mechi na mallorca last week ambayo tulipiga goli 5-0!!
Utaona kwamba mechi ya leo ni kama tu kumsukuma mlevi vile,cesc Fabrigas(alipiga hat trick mechi na mallorca) ataanza na David villa+alex sunchez
Marcherano na abidal +Gerald Pique bila kumsahau mkali anayepanda na kushuka mbrazil lakin ana nembo ya Mpareguana Dan Alves kama kawa atasapoti ku defence na ku-attack yaani UHONDO tu sipati picha
Kama kawa Xavi atakuwa na shughuli ya kuuthibitishia ulimwengu kama yeye ni best finisher !!!
Yani nahisi nauona mpira unavyochezwa vile leo kiufupi my predictions tutashinda goli 4 kwa wafaransa hao wa PSG,sina wasiwasi hata kidogo na timu yangu yani ni ushindi mtupu my colleague fans
Najua wahabiki wa Madrd na wengineo wasiotupenda mnatuombea dua baya lakin not for barca!!Na historia ni ileile kuchukua La liga ambayo hadi sasa kishaeleweka waulize madrid na Tunaelekeza nguvu zetu now kuchukua UEFA hilo halina mpinzani hadi timu pinzani zote zinajua kuwa barcelona ndio timu ya century

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Utakuwa mtu wa kuahidi hadi lini? Mbona hukumeza kisu? Leo nataka utuahidi 0715
 
Siku ile kijana 2-2 si tulishinda ugenini au?na goli la PSG la kuotea still tukawa mabingwa kwao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Line kama kawaida huku tukiwa na support ya Abidal na kocha wetu akiwa uwanjani TITO Vilanova wote wakiwa wametoka ku recover cancer
Inajulikanaga kama kawaida tUkiwa uwanja wa nyumbani huwa tunaongeza concentration ya mechi,huku tukiwa wakali kama Andres Ineista alivyoahidi tu tunacheza zaidi ya fainali,Mtaalamu messi(the marvolous) akitoka ku recover injury ambayo ilimfanya akose mechi na mallorca last week ambayo tulipiga goli 5-0!!
Utaona kwamba mechi ya leo ni kama tu kumsukuma mlevi vile,cesc Fabrigas(alipiga hat trick mechi na mallorca) ataanza na David villa+alex sunchez
Marcherano na abidal +Gerald Pique bila kumsahau mkali anayepanda na kushuka mbrazil lakin ana nembo ya Mpareguana Dan Alves kama kawa atasapoti ku defence na ku-attack yaani UHONDO tu sipati picha
Kama kawa Xavi atakuwa na shughuli ya kuuthibitishia ulimwengu kama yeye ni best finisher !!!
Yani nahisi nauona mpira unavyochezwa vile leo kiufupi my predictions tutashinda goli 4 kwa wafaransa hao wa PSG,sina wasiwasi hata kidogo na timu yangu yani ni ushindi mtupu my colleague fans
Najua wahabiki wa Madrd na wengineo wasiotupenda mnatuombea dua baya lakin not for barca!!Na historia ni ileile kuchukua La liga ambayo hadi sasa kishaeleweka waulize madrid na Tunaelekeza nguvu zetu now kuchukua UEFA hilo halina mpinzani hadi timu pinzani zote zinajua kuwa barcelona ndio timu ya century

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwenye lineup unamwona messi?
 
Line-up confirmed! BARCELONA

Valdés, Alves, Piqué, Cesc, Xavi, Villa, Iniesta, Sergio, Pedro, Jordi Alba, Adriano
 
I gues second half Mess ataingia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haaaaa ushameza kipi mpaka mudahuu he kumbe no messi no barca loh another things fall apart
 
huu mkuki unaweza umeza leo, hawa jamaa wanaweza piga kitu dakika za mwishoni kabisa.

Barca possession kibao no goals.

Yaani namalizia kuandika jamaa wanapiga kitu.
 
Barca kama wamepaniki vile. Hii timu ni one man show.
 
Mwenzie alisema atajing'ata mgongoni mambo yalipomzidia akala kona na kuitelekeza thread yake. Kimeshanuka sasa ngoja tuone.
 
Barca ikishinda leo nakunya juu ya meza yangu ya chakula sintajali mkewangu atasema nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom