baba HAPER7 funga basi,ikiwa moja moja,barca atasonga
mimi Man U.Ila hawa Barca siwapendi tu.Hehehe. wee Madrid eh?
Barca ikishinda leo nakunya juu ya meza yangu ya chakula sintajali mkewangu atasema nini.
Vipi mkuu!Umeshameza huo mkuki? Usijitetee kwakuwa wamequalify mwanzo ulisema wasiposhinda! 1-1 siyo ushindi huo
mimi Man U.Ila hawa Barca siwapendi tu.
Enzi za Ronadino na Etoo umesahau walivyowafanyia nyie Arsenal kule Paris kwenye fainal ya UEFA 2006 kama sikosei.I know, I Know, taken into account walishawafanyia kitu mbaya twice tena in the final?
hawa barca hawafiki popote wewe mwekundu jiandae kumeza jambia huko mbeleni
Na buyern munich mkuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums