Names of offsprings

Names of offsprings

donpablo138

Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
15
Reaction score
5
Currently married, am curious,who is responsible to select names of offsprings
 
Majina ni majadiliano baina yenu wawili. Jambo la kuzingatia ni usiruhusu mkeo ampe jina mtoto wenu wa kiume, huwa hawakawii kuwapa majina ya maex. Exception kwa hii kanuni ni kama mtoto kupewa jina la baba mkwe.
 
Uko sawa mkuu

Mwanamke anaita ya kizungu, mimi nabandika yale kwetu, halafu nakomaa nayo mpaka kila mtu analizoea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom