Sema uko single ON - OFFKILA NIKIPATA BWANA, NAMWAGWA ndiyo maana Hadi leo nipo Single
Fursa kwa walio single
KILA NIKIPATA BWANA, NAMWAGWA ndiyo maana Hadi leo nipo Single
Single ya kibongo ni mtu ambaye hajaoa/olewa kisheria. Kuna watu wanaishi pamoja na wana watoto lakini wajiita "single". Tutendeane haki lwa wale walio kwenye mahusiano wanayoyajali
Hasa wanaume loh!!
"not single but romantically challenged"
Mweee!!!!!! mmmh!! hata nikiwa kwenye uhusiano unaolega lega nasema nipo single.
kukosa uvumilivu na subira kwa wavulana ndo kumechangia niwe cngle.
now nko radhi hata miaka kumi nimsubiri mwanaume atokee co mvulana..!