Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Watu wengi walio "single" kwa njia moja au nyingine wana matatizo lakini huwa ni vigumu kuukubali huu ukweli,inaweza kuwa ni uwezo mdogo kifedha,kushindwa kumpata mtu anayefikiri ni sahihi,au woga wa kuwa na mwenzi.
Tubadilishane uzoefu kidogo maana kila mtu amepitia hii hatua.
Tubadilishane uzoefu kidogo maana kila mtu amepitia hii hatua.