Namchukulia kama chombo cha starehe tu baada ya kuniblock instagram

Namchukulia kama chombo cha starehe tu baada ya kuniblock instagram

Una blockiwa instagram unalia lia. Mimi niliyepewa ban ya "usinitafute mpaka nikutafute simu yangu anayo mama" nisemeje?

Hapo ukituma ujumbe au kupiga ujue ni ugomvi. Na usipomtafuta hakutafuti ng'o. [emoji23] [emoji23]

Ila nyie wanawake akili zenu mnazijua wenyewe bana..
 
Una blockiwa instagram unalia lia. Mimi niliyepewa ban ya "usinitafute mpaka nikutafute simu yangu anayo mama" nisemeje?

Hapo ukituma ujumbe au kupiga ujue ni ugomvi. Na usipomtafuta hakutafuti ng'o. [emoji23] [emoji23]

Ila nyie wanawake akili zenu mnazijua wenyewe bana..
Hujiongezi tu na wewe
 
fanya mpango uoe kabisaaaaaaa
33306850_1841530055905116_3621827968029949952_n.jpg
 
Toka nmeoa sijawah kua rafik wa mke kwenye social media kabsaaa,na enjoy kua hiv zaid kuliko tukiwa marafik,,atabak rafik yng nyumban tu inatosha..

We furahia ukitaka kujua hii kitu ww unaichukulia poa ila ukwel i akuumiza sana moyon,mpk kuifungulia uzi daah pole sana we mfanye tu wa starehe inatosha,halaf baadae unamwacha unakua na mwngine mwaka tena wa starehe,una mwacha unakamata mwngine wa starehe halaf uone kama hujapishana miaka 39 na mwanao wa kwanza[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Pia unaweza tumia sim nyingine ukajua kila kinachoendelea
 
Ungeblockiwa whatsapp ingekuwaje mkuu kama insta unalialia hivyo we unamwazia hivyo usikute na yeye ana mawazo kama yako mkikuwa mtaacha michezo yenu
Yani mwanaume kamili mwenye kende zake kamili anakuja kulia lia na habari za mapenzi kwenye mitandao, atakuwa anatatizo kubwa sana la kwenye ubongo wake. Ameisha sema hana future naye sasa mbona anakuja kutubania pua humu awe unblocked, anahisi itamsaidia nini? Wakati anasusa hakujua wapo ambao wapo tayari kuila hivyo hivyo ni bila hata chumvi?
Kweli dunia imepatwa na mabadiliko makubwa mno.
 
Ungeblockiwa whatsapp ingekuwaje mkuu kama insta unalialia hivyo we unamwazia hivyo usikute na yeye ana mawazo kama yako mkikuwa mtaacha michezo yenu
Jamaa anachekesha sn
Anaona binti kamfia ila in real sense jamaa ndo yuko kwny tabu
Mtu kakublock na we si umblock ili msiwasiliane vizuri
 
Huyu ni mpenzi wangu ambae tumedumu kama mwaka mmoja katika mahusiano yetu.Kama ilivyo kwenye mahusiano mengine yoyote kwamba kugombana na kupatana ni jambo la kawaida sana kwa wapendanao.Tumekua tukigombana kwa ugomvi ambao wakati mwingine mimi ndio chanzo na wakati mwingine na yeye vilevile huwa anasababisha kugombana kwetu.

Kwasasa tunaelewana vizuri tu na napata show kila ninapohitaji ila kitendo cha yeye kuniblock instagram na mpaka leo hajani unblock huwa kinaniumiza kichwa sana sababu aliniblock tulivyogombana lakini mpaka leo bado nipo kwenye block list.Niliwahi kumuambia siku moja kuhusu hili suala na akahaidi kwamba atani unblock lakini mpaka leo bado hajafanya hivyo.

Najua wengi hapa watabeza kwamba ooooh kama papuchi anakupa mambo ya account yake ya instagram inakusaidia kitu gani.Ni sawa kwamba sex ananipa kila ninapohitaji lakini sijui anaposti vitu gani kwenye ile account yake.Naweza sema ni take for granted kumbe kuna mwenzangu anapostiwa every now and then.Sio kama nataka aniposti mimi kwenye account yake hapana kwanza huwa si entertain hizo mambo za kuwekana wekana kwenye social media ila natakiwa nijue whats going on hasa kama mtu nina future nae.

Kwasasa nilishaamua kumfanya kama chombo tu starehe na sina mpango nae wowote wa baadae ingawa kwa upande wake naona ana high expectations na mimi.Nasema hivi kwasababu usimuamini mwanamke kwa asilimia zote mana wameumbwa na tamaa sana especially hawa madada wa mjini.

Ingawa hajui kichwani nawuwazia vp ila kuna siku atakuja kufurahi na roho yake
Nyinyi ndo mnaosababishaga wanawake waonekane wakatili.
I thought busara hapo ni kuongea nae kuhusu hilo swala akikataa umweleze msimamo wako.
Au unadhan ukimgegeda then ukamuacha utakuwa umemkomoa yeye tu?
Hiyo ni laana itakutafuna wewe na familia yako mpya maybe mpaka watoto wako.
Ukiona mwanamke haendi unavyotaka wewe hivyo huoni future nae, mwambie ukweli usimpotezee muda tafuta mwingine. Hapo utafanyika baraka kwake kuliko kumtumia miaka mi5 then ndo umwambie sikutaki sababu uliniblock insta.
Utumbo
 
Ukiblockiwa katika hii mitandao na wewe mtie block kila mahali
 
Back
Top Bottom