Namchukulia kama chombo cha starehe tu baada ya kuniblock instagram

Namchukulia kama chombo cha starehe tu baada ya kuniblock instagram

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una strateji kali mzee
Ntaka kuokoa ndoa ya ndugu yangu huyu .. inaonekana ana mpenda mpenzi wake ila IG inataka kua kikwazo.
emoji23.png
 
Shunie amesema mkikuwa mtaacha michezo yenu..... kafanye homework yangu mdogo wangu haya mapenzi yapo tu
 
we jamaa unatudhalilisha wanaume... ndo habari gani kulia kipuuzi hivyo.... akili huna.
 
Back
Top Bottom