Namchukia sana mume wangu!

Mh!kumbe hii statement ilitokana na maisha halisi aisee:

The ONLY woman who knows where her man is all the time,is a WIDOW,the REST must shut up,sitdown & be STRONG !
 

asije tu akakubali kulea/kuwachukua hao watoto, kila mtoto alelewe na mama yake huko huko waliko, akikubali tu inakula kwake.
 
Mh!kumbe hii statement ilitokana na maisha halisi aisee:

The ONLY woman who knows where her man is all the time,is a WIDOW,the REST must shut up,sitdown & be STRONG ![/
QUOTE]

whoooo, kazi ipo
 

wallet ndefu my dear, so mambo kama hayo kwake labda ni madogo madogo.
 
Duuh hili jukwaa mara yangu ya kwanza kuhudhuria ...Sababu kubwa sipendi kuchafua moyo wangu..Lakini rafiki yangu akaniambia nipo selfish maana naipenda nafsi yangu kuliko wengine na kuwa kuna issues naweza saidia huku....

Well nimeona kuna watu wanahitaji msaada wa kiroho humu na ndilo lengo langu kubwa...

Ushauri kwa muathirika....

Umefanya vizuri kuja JF kulisema humu kuliko ungeenda kulisema mtaani maana watu huko mitaani wangekuongezea msongo wa mawazo badala ya kutatua shida...

Then inapokuja swala la ndoa; mimi nitakushauri ki-kristo maana miye mkristo na pia mwana ndoa. Shida kubwa ya ndoa ni mwanzo wa ndoa yenyewe. Je msingi ulikuwa katika urafiki wa kidunia ama ulihusisha imani?

Ndoa zote kwa uzoefu wangu ambao msingi wake ni macho (kuvutiwa na mwana ndoa) lazima zipigwe na mawimbi makubwa baada ya mwili kuchoka/zoea vile vivutio na hii hupelekea ndoa zote za jinsi hii kwa ambao wanakubaliana na mioyo yao na ukweli wa miili yao lazima watoke nje. Uzuri ni kuwa wengi wanaweza tunza siri (kuiheshimu ndoa) na wale wasio na heshima huamua kuweka wazi. Kwahiyo sijapata ona ndoa yoyote ambayo msingi wake si imani (wakristo, hindu uisilamu haijalishi lakini wanaamini katika dhambi na kweli wanaamini siyo wanajidai kuamini) wenzi wakawa waaminifu.

Lakini ndoa yoyote ambapo wanandoa wamemwamini Mungu asilimia 100 huwezi ona watu wakatoka nje...Lakini wale ambao hawana nguvu ya ziada watakuwa wanaishi kwa tabu mno maana miili yao itawasumbua sana....Hawa mara nyingi ni wakali mno ama anaweza kuwa na tabia ya ajabu ajabu ambayo inaonyesha wazi yuko frustrated.

Lakini kuna wale ambao wamejazwa roho mtakatifu...na hasa kama tangu awali waliishi katika maisha hayo hao ndoa kwao ni krismas na wanashangaa kusikia kwamba kuna watu wanatoka nje maana hawaelewi sababu ya mtu kwenda nje. Pia wapo ambao hawakuwa katika misingi ya kuamini lakini baadaye wakaajaliwa na kuamini hao watapata misuko suko kwakipindi kifupi na baadaye wataimarika na kuijenga ndoa yao ambayo itakuwa na amani na starehe ya ajabu.

Turudi kwenye tatizo lako...Kama ni mkristo najua jinsi ya kukusaidia; lakini kama ni imani tofauti neema ya Mungu iwe juu yako...Lakini ninachokuambia ukikizingatia utakuja na ushuhuda hapa.

Kitu cha kwanza samehe yote na jiambiye mwenyewe dhambi si uzinzi tu hata mwongo pia ni mtu mbaya kama alivyo mwizi ama mchoyo...Hii haiji mapema ili ukidhamiria baadaye kwa neema ya mungu uchungu utaondoka ndani mwako hasa kama utapenda kusali kuomba neema ya kusamehe. Omba neema ya kusamehe na Mungu ana jinsi ya kusaidia msamaha utoke ndani ya moyo wako na itategemea umejiachilia kiasi gani. Usipo samehe niadhabu kwako maana hutakaa ufurahiye maisha na shetani alivyombaya huyo mumeo ndiyo atakuwa sababu ya wewe kutofurahi maana atahakikisha haendi mbali na upeo wa macho yako ili wewe uendelee kuteseka moyoni.

Then baada ya sala ya kuomba uweze kusamehe tafuta kitu kizuri kimoja mumeo amewahi kukufanyia tangu muowane na kumbukia ocassion zote alizowahi kukupa raha mpaka ukaweza kukataa umbeya wa hao wapambe..Then kila siku fikiria hayo kipe muda wa kufikiria na omba Mungu akusaidie uweze kurudia hayo maisha...Once in a while utashangaa mumeo anaanza kurudi kwako na hutaweza kubali uvunje hiyo ndoa utapenda uongee naye na kwakua umemshirikisha Mungu utashangaa Mungu ataweka maneno ya tiba ndani ya kinywa cha mumeo na upendo wake kwako utakuwa maradufu....Experience utakayo toka nayo baada ya wewe kurudiana na mumeo hayo mambo ya kuzaa nje utaona kama vile pia ilikuwa ni njia ya wewe ku-enjoy ndoa yako maana this time mumeo atakuwa mtamu na mpenzi zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.

Haya yanawezekana kama tu utaamua kuipeleka kesi yako kwa Mungu na kufuata niliyokueleza...Haijalishi wewe ni mkristo ama dini nyingine Mungu anasikia kila mtu..Ila matokeo yakitokea ujue kuwa Mungu wa ki-kristo ndiye aliyetenda haya yote.

Barikiwa na bwana na sasa naomba neema ya Mungu juu ya maisha yako. Naachilia upako wa ndoa ya amani na ya starehe kama ilivyo ile ya kwangu ambayo Mungu mwenyewe kwa neema yake ameifanya kuwa hivyo na wala si nguvu wala uwezo wangu mimi. AMINA!
 
:llama:. huyo ni mumeo tena wa ndoa ... kuhama chumba hakusaidii kitu.... watoto hawana kosa lolote wameshazaliwa... huwezi kuwaua ..... pia huwezi kutenganisha udugu kati ya watoto wako uliowazaa na hao wa nje.... ..... jirudi upya lazimisha upendo kwa mumeo...... ukifanya hivyo Mungu atakuwa upande wako ........... na pia hujui ni nani ambaye atakusaidia huko baadaye:lalala:


:deadhorse: endelea kumshirikisha Mungu katika mambo yote hayo...... tambua na fahamu pia kwamba hakuna jipya alilofanya Mumeo.... ni mambo ya kawaida sana....
 

................. God Bless u............... :amen:
 
Reactions: Ame
Hili ni doa kubwa sana katika ndoa yenu!! Na kidonda ni kikubwa!!! Na huyo anayesomeshwa chuo ni lazima atazaa naye!! Kweli wanaume wengine ni washenzi mno!! Mke anajitoa kiasi hiki lakini humpi shukrani badala yake unatumia hela za familia kwa uzinzi!! It is sad!! Mama usiondoke, nyumba yako hiyo!! simama kidete na penzi usimpe!! Ukizidiwa sana ukame kamata mtu hapa fanya mapenzi salama!! Nimechukia, nisameheni comrades but mambo mengine yanaudhi sana!! Yaani give him a cold shoulder na usioneshe hata msononeko kabisa, be happy enjoy your life. Siku nyingine toka na watoto nenda kwa ndungu kula bata, yaani usimpe nafasi ya kukuonea!! Yaani ningekupata wewe, sononeko lako lingeisha!! Unajua wakati mwingine tunasaidia wamama wanaoteseka ili mradi si kumchukua kama nyumba ndogo bali ni kumpa ile haki ya mwanamke! Msinirushie mawe!!
 

mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio haambiwi sikia!umeeleweka sana
 
Reactions: Ame

Wengi wanadhani wakiwapa huduma waume zao ndiyo hawatatoka nje..Mtuulize sisi wanaume tuwaeleze siri.....

Kiukweli ni kuwa wanaume wanaongozwa na macho yao..Kama tu imani haipo..So kutoka nje siyo kwamba hampendi mkewe noooo ila macho yake yanazoea vitu alivyo mkewe na mara hisia yote inaishi kama huyo aliyemtamani (upendo ni tofauti na tamaa ya mwili) atakuwa mkewe. Miaka ya ndoa inapoongezeka upendo kwa mkewe unaongezeka na atachment lakini hisia inapungua. So kwasababu mwili wake haujafa (imani) utaendelea kuona vitu vipya na vizuri kule nje...Na kwa kuongozwa na mwili basi lazima asiye na imani na vitu kama dhambi ama wengine walio dhaifu hata kama anaamini anaanguka na kujikuta emetembea nje ya ndoa. Siyo kwamba wanapenda no, hata yeye atakuwa anaumia sana moyoni kwakusaliti ndoa yake na kama mke atashindwa kumwelewa then is even bad maana anapata maumivu mara mbili na anajikuta anatamani kutuliza hayo maumivu na kwakua ndoa imeshatiwa nyongo anaamua kutafuta binti mzuri apunguze hayo maumivu and it keeps on like that mpaka anachanganyikiwa na mwingine anaharibikiwa kabisa mwishowe anaamua kuwa mkali na kumdhibiti mkewe kama ana pesa na ni mume kweli nyumbani na hataki kuvunja ndoa yake ama mwingine anaamua kuvunja ndoa kabisa akidhani mke ndiye chanzo cha hayo yote...kumbe the greatest enemy is the devil and his evil plots!

Wanawake jifunzeni kuwa walinzi wa ndoa zenu kwakuwa wacha Mungu....Msipoweza kulinda waume zenu kwa maombi hakuna ndoa itasimama imara.
 
Nimekosa cha kusema,ngoja nifikirie kwanza,maana akili yangu imestak...
 
Du!!! NDOA NI NGUMU SANA sipati picha ningekuwa mimi ningefanyaje. INAUMA SANA. Labda ningemsamehe lakini things will never be the same .
 
Tooo theoretical
 
Reactions: Ame
Tooo theoretical

If only you can practice will change from theory to real life because its from theory we practice to bring good results otherwise you end failing, why dont you try? Others have and have brought good reports on how this theory works! remember life is full of choices and only those who are smart enjoy! God bless you...
 
Aisee dada pole sana maana inauma zaidi ya maumivu.Mdharau usimfatilie kuonesha msimamo wako, kamwe usije kuondoka hapo ni kwako. Angewapenda kweli angewaoa hao ni malaya tu. Jipe moyo na Mungu atakusaidia.
 
Aisee pole sana dada hayo maumivu ni makali kuliko maumivu, mdharau kwanza huyo mwanamme usimjali na anayoyatenda atajiona mjinga hana maana. Hao hawala zake aliwataka na hakuwapenda alikupenda wewe ndo maana kakuoa hao wengine na malaya tu njaa zinawasumbua. Usije kutoa mguu wako hapo ulipo ni kwako. Pole sana na Mungu atakusaidia mpendwa.
 

Under these circumstances you need to readdress the approach you have taken in light of the HARD facts, pray like you have never done before, remember the man is your husband not just a boyfriend! Pray for him as well, love him as Jesus loves us despite the clear fact that we treat His love like it does not exist even.
All JF members will uphold you in prayer all the time!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…