Namchukia sana mume wangu!

. Mmmmmmmmmmmmmmh natamani nione hayo unayo MP maana mimi mwenyewe yalinikuta nilisamehe ila kila nikikumbuka hata kuhangaika kumpikia,viherehere vyote vimeniisha hata akiomba maji ya kunywa au juice namtuma mtoto ingawa zamani nilikuwa nafanya mwenyewe, wanaume ningekupewa uwezo na Mungu wa kuwaadabisha japo dk 10 wange............... wanaendekeza sana ngono.
 
Kabla ya kumtendea hivyo, jiulize wewe umefanya nini kumsaidia asitoke nje? Mara ngapi ulimuombea tena kwa siri bila yeye kujua? Mara ngapi ulikaa naye kumuonya kwa upendo kuwa unayafahamu anayoyafanya na kwamba anaidhalilisha familia? Mpwa wanaume tu dhaifu sana mbele ya wanaume, na huwa nalazimika kuamini kuwa MUNGU alimuumba mwanamke si kiumbe dhaifu kama watu wanavyodai but kiumbe mwenye nguvu za asili.....mtupende, kuweni wacheshi kwa waume zenu, punguzeni visirani majumbani kwenu, mmmh haya bhana
 
mnaosema amsamehe...magonjwa jamani...huyo mwanaume ni malaya tu excuse my language....
mie nakushauri omba talaka yako,mgawane mali mlizochuma pamoja,mahakamani atapewa kiasi chake cha kugharamia watoto kwa kuwa una kazi sioni kwa nini maisha yakushinde,hayo maisha ya kupretend utakufa kwa kihoro bure na siku akileta mtoto wa tatu je????????mnh its not healthy
 
Pole sana tundatamu kwa maumivu unayopata! Maana alicho fanya mumeo ni kosa. Lazima ni kuulize kama bado unampend au laha!

Huamuzi wa kuhama chumba ni kutaka kuvunja ndoa maana pia unampa nafasi mmeo kuendelea kutoka nje!

Pia kama unataka mumeo ahame ni sawa na kuhitaji kuvunja ndoa ua separatio, kama ni hivyo ni bora kufata taratibu za kisheria ili kudai talaka!

Lakini kama unaweza kukaa na mumeo mkayamaliza siyo mbaya ili muweze kulea watoto wenu na pia kumaliza hilo deni kwa Amani!

Si kushauri sana kufanya separation.
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kuwa wewe unaumia lakini yeye haumii. PUnguza jazba ili usiumue zaidi. zungumza naye kuhusu hali nzima na umtake atoe mawazo yake kuhusu nini kifanyike. baada ya hapo uje tena utujuze tukushauri
 
pole sana...... Namuunga mkono hakuna kuhama nyumba.... Wa kuokoa ndoa hiyo ni mume aache kuchovyachovya itanasa au mpaka aone mkewe kaipua mali mpya ndo atakituliza??????

Mijanaume inajuaga kweli kuharibu furaha ya nyumba
 
ungekuwa huumii ningekushauri ubanane hapo hapo maisha yasonge,mbona bibi na babu zetu wengine hawakulala chumba kimoja??,..yeye kama umehama chumba na hajameki efforts kukuuliza au kutaka mpatane guess what dont bother either maana ndoa yenu imekufa.....its time to move on girl
 
loh leo niko kwenye mafungo sina la kusema....natafuta upako mwenzio..
Mhhhhhhhhh! Alichokiunganisha Mungu Binadamu na Asikitenganishe!!!!!!! Nitarudi, ngoja nijicosult kwanza kwenda kinyume na bible!!!!!!

Sister Ciello ushauri wako unahitajika huku!
 

JAMAN MIMI UWA NAAMINI C WANAUME TNADHULUMIWA SANA KWANI NAAMINI MEN ARE POLYGAM IN NATURE, WENG TNAYAFANYA AYA ILA KWA SIRI KUBWA ASA UPENDO UNAPOPUNGUA MAJUMBANI KWETU, PIA TZINGATIE IMANI ZA DINI, WE MOSLEM WAKIZID WA4 APO SASA UNATENDA DHAMBI ILA B4 KIASI ICHO HEKIMA IKUONGOZE DHIDI YA HAO WAKE ZAKo,
 
Dada pole sana kwa yaliokukuta
 
Nashindwa kukushauri lakini kuacha chumba kwa ajili ya Mume kuwa na watoto wa nje ni wivu ambao utaisha tu
Kuna Makabila na DINI nyingine hicho kitu kinaruhusiwa sasa huyo rafiki yako km hakulelewa katika maadili ya namna hiyo ikimtokea anaona ajabu na anaweza hata kujidhuru, mwambie atulize moyo na siige tabia ya kulipiza kisasi, atunze heshima yake na amrudie mumewe, walikuwepo kina Ibrahim, Noah,Daud, Mfalme Suleimani na wengineo wake zao hawakufanya hasira hizo
 
Bush Lawyer.
 
Mwambie atulize moyo tuh,wakae chini wazungumze,,sasa anamkimbia mume na keshazalishwa watoto watatu wote hao nani atamuoa yeye??

Besides wanaume tunafanana tabia,,hayo yanarekebishika tuh
 
African men full of drama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…