Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
Kwa nini? Nimeshakuwa mtu wa maana kwa taarifa yako.Acha kuulisha ubongo wako mambo ya ajabu....HAUTAKAA KAMWE KUA MTU WA MAANA.
Kwa nini unamtaja mzazi wako bila heshima na adabu kwenye kusaidia mzazi/wazazi usiangalie mpo wangapi saidia wewe kama wewe kama uko peke yako.Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Kama unahitaji umaarufu Jf basi huu wako ni wehu na upumbavuNashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
dah yani ushapata hela ya kubadilisha chupi ushawasahau na kuwassema vibaya wenzako mpama wazazi wako kweli we limbukeniWazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.
Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee.
Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata ndugu kama hawa, nachukia, na dada zangu wameishia kuzalishwa na kuachwa tu, kifupi wamezalia nyumbani wote 5.
Sijui wamertihi kwa bi mkubwa, nae alizalia home kwao na walikuwa washirikina na walikuwa na maisha mabovu. Mzee baada ya kumbana mno, alinijibu "mwanangu nilifanya makosa katika kuoa, mama yako ni kiburi na hasapoti mipango yangu"
Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Nashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu kwa kauli tu unazotoa inaweza ikawa sababu ya Kuzidi kukosa furaha kama unavyosomeka hapa.Wazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.
Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee.
Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata ndugu kama hawa, nachukia, na dada zangu wameishia kuzalishwa na kuachwa tu, kifupi wamezalia nyumbani wote 5.
Sijui wamertihi kwa bi mkubwa, nae alizalia home kwao na walikuwa washirikina na walikuwa na maisha mabovu. Mzee baada ya kumbana mno, alinijibu "mwanangu nilifanya makosa katika kuoa, mama yako ni kiburi na hasapoti mipango yangu"
Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Nashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
katika nchi upewayo na Bwana Mungu wakoMwisho nikupe hili moja mku
"Waheshimu baba yako na Mama yako, ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUA NYINGI"
Ukitaka ufe ungali mdogo sana wa umri ,wee Wadharau wazazi wako.
Baba yako keisha kuambia chanzo ni Mama yenu , mbona yeye humlaumu ?!.Wazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.
Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee.
Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata ndugu kama hawa, nachukia, na dada zangu wameishia kuzalishwa na kuachwa tu, kifupi wamezalia nyumbani wote 5.
Sijui wamertihi kwa bi mkubwa, nae alizalia home kwao na walikuwa washirikina na walikuwa na maisha mabovu. Mzee baada ya kumbana mno, alinijibu "mwanangu nilifanya makosa katika kuoa, mama yako ni kiburi na hasapoti mipango yangu"
Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Nashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hebu nifunulie siri hii! Kivipi?"Usiweke mayai yote kwenye kiota kimoja".
Huu msemo inawezekana mama yako aliufanyia kazi ndio maana angalau wewe unajitambua.
Mshukuru sana Mungu.
Wazazi enzi hizo walikuwa wanapelekwa kwenye unyago(wanawake) na jando(wanaume).
Mmmmh ila kwangu mbona tofauti, nina akili kupita watoto wote(za darasani), watu wanasema pia mimi ni handsome kuliko watoto wote wa kiume, pia ni pekee nimefika advance na chuo.Wazazi enzi hizo walikuwa wanapelekwa kwenye unyago(wanawake) na jando(wanaume).
Moja ya kitu walichokuwa wanafundishwa ni "mke jitahidi usizae watoto wote na mumeo tuu, jitahidi upate na hapo watoto wawili na mwanaume/wanaume tofauti". Vivyo hivyo kwa wanaume.
Lengo kuu lilikuwa ni kwamba endapo mumeo/mkeo kutakuwa na shida kwenye bloodline yake basi angalau watoto kadhaa wapone na hiko kisanga.
Sasa kama umekuwa watofauti na wengine basi mshukuru Mungu na uache kulaumu! Ukishukuru mambo yako yanafunguka zaidi. Ukikaa kulaumu na kunung'unika unajiandalia anguko lako. Kama maisha yako yanamuelekeo na bado unalaumu je ungekuwa kama hao ndugu zako wengine ungefanyaje? Familia ikishakuwa na mambo yakishirikina basi ujue viunzi vyakimaendeleo na maisha vinakuwa vingi. Shukuru acha kulalama na urekebishe unapoweza!Mmmmh ila kwangu mbona tofauti, nina akili kupita watoto wote(za darasani), watu wanasema pia mimi ni handsome kuliko watoto wote wa kiume, pia ni pekee nimefika advance na chuo.
Ila nimefanana na mzee mno, pamoja na bi mkubwa, hapo sijajua inakuwaje.
Kifupi ni mtoto wao halali kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wengine uwa ni taabu tupu, na mbaya zaidi wazazi wakishafariki wewe ndio unabebeshwa mizigo yote. Kisingizio utasikia Mzee alikusomesha, kama vile wao walitaka kusoma wakakataliwa. Mbaya zaidi unaweza kuta wewe umesoma shule za kata na wao wamesoma private wakavurunda halafu wanakuona kama umependelewa kisa umefika chuo nk nk.dah yani ushapata hela ya kubadilisha chupi ushawasahau na kuwassema vibaya wenzako mpama wazazi wako kweli we limbukeni
Wazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.
Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee.
Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata ndugu kama hawa, nachukia, na dada zangu wameishia kuzalishwa na kuachwa tu, kifupi wamezalia nyumbani wote 5.
Sijui wamertihi kwa bi mkubwa, nae alizalia home kwao na walikuwa washirikina na walikuwa na maisha mabovu. Mzee baada ya kumbana mno, alinijibu "mwanangu nilifanya makosa katika kuoa, mama yako ni kiburi na hasapoti mipango yangu"
Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Nashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha huo upumbavuWazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.