Namchukia mume wangu

Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume kanizidi cna umri na ni mtu wa totozi sana
Sasa kwa kuwa nimetoka ktk familia ta wacha mungu nikaona nipambane na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Nimekuwa nikivumilia na huu ni mwaka wa 7 wa maisha yetu pamoja lakini nakereka na vitabia vingi ukiwamo wivu alionao kwangu wa kuputiliza natabia ya kuweka watu wa majirani na ofisini kwangu wanichunguze nan anakuja nan nna mazoea nae hasa wanaume.
Hiki kitendo huwa kinanikera nataman hata cjui nifanyaje na nkimuuliza asema et hawez acha kufanya hivyo coz me mkewe.kiukweli ni mbishi.
Ukweli ni kuwa me kma mwanamke mrembo kutongozwa ni kitu cha kawaida lakini sina mahusiano nje ya ndoa yangu.
Hapa nilipofikia nahisi namchukia mume wangu..what am gona do au niishije na huy mtu bila kukwazika?
nikimuona nasikia kulia tu na nikilia anasema eti kuna mtu namkumbuka dats y nalia.wakubwa wangu nielekezen kidogo ntaipoteza ndoa yangu

ukiolewa na mwanaume aliyekuzidi sana umri jiandae kuchungwa ile yenyewe yenyewe...nina dada yangu analia kutwa kucha hakuna kuongea na mtu wala kutembea kwenda popote,unasema wewe ambaye unaenda hadi kazini??? UNALO HILOOOOO
 
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
Hilo hapo ndilo kosa kubwa ulilolifanya!!! Wewe una 25yrs unamaanisha yeye ana 50 siyo? Aisee! Kuolewa na baba yako ni challenge kubwa sana. Atakuwa anakulinda kama mie navyowalinda mabinti zangu hivi sasa. Nawalinda kuliko navyomlinda mama yao.

Kifupi nyie hamuwezi kuimba wimbo mmoja...
Yeye anaijua TANU, wewe CCM/CDM
Yeye zilipendwa wewe bongofleva

Labda nikuulize, ilikuwaje ukakubali kuolewa na baba yako? Kama ulimpenda huna jinsi endelea kumpenda. Si kosa lake ni umri mama!...Vumilia ukifikisha miaka 45 yeye atakuwa na 70 angalau hapo itakuwa zamu yako sasa kumlinda.....
 
kwanza futa dhana ya kusema "" unamchukia mume " unatakiwa umpende kwa kila hali ...

pili hata ukiwa mzuri si lazima utongozwe yawezekana unaumia kwa kukosa fursa ya kutongozwa ..

kaa chini jipange jinsi ya kuishi na mmeo yawezekana kuna mambo unamkwaza ndo maana amekuundia jeshi la ulinzi

atampendaje kama alimtamani kabla ya ndoa
akuna kitu kibaya kama kujipa moyo ntampenda tukishaoana loh!!!Akamuulize habakuki kwenye baibo
 
Mie naona bado unaishi kanani,
nchi ya ahadi
nchi ya mana na asali na maziwa

hivi wewe ni mgalatia?
Umerogwa?
Ni mgeni yerusalemu hii ya ndoa?
Sasa kama anakuwekea watu wakuchunguze
na wewe huna siri ya kuficha hofu yako nini??

Anyway, umri unaruhusu hayo mawazo yako.
tena umesema ni mcha mungu sijui MUNGU gani unaemcha ambaye hasikii maombi yako; piga magoti omba toba MUNGU kakupa mme we wamchukia. angali dunia mti mkavu... anyway ila TOBA ya kweli inahitajika kama bado upo kanani kweli...
 
atampendaje kama alimtamani kabla ya ndoa
akuna kitu kibaya kama kujipa moyo ntampenda tukishaoana loh!!!Akamuulize habakuki kwenye baibo

tatizo wengi huanza mahusiano kwa matarajio na huamini watu hubadilika lakini katika mabadiliko yapo sehemu tatu tu yapo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu au yasiyowezekanika kubadilika ...

huwezi mbadili mtu awe kama wewe ila fuatili kwanza malezi alikotoka ...
pili tamaa ya ndoa au kuolewa ndio huwafanya watu waanze kujuta kwa nini aliolewa au kuoa , pia wengi huanza kusema heri ya fulani lakini anasahau aliye nae halinganishwi ,... sasa huyu anatamani arudi kwenye kutongozwa duh
 
Daaaah!kaishi mara mbili ya umri wako wewe una 25 na yeye ana 50 hapa napata picha ulichokifuata kwa huyo babu ni mkwanja na si kingine na ana haki ya kuwa na wivu na wewe kwasababu hakutimiizii haja zako kwa hiyo anajua kuna viserengeti vitakuwa vinakushugulikia na kinachokupa jeuri ni kwamba ata mkiachana utaolewa kwasababu umri unakuruhusu pole sana ila kama unataka kufanya maamuzi fanya maamuzi mapema kabla haujachelewa
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj
 
siku zote mwizi hudhani mwenzie nae mwizi
wanaume wanaotoka nje siku zote wana wivu sana kwa wake zao hata kuwachunga
ndio imekutokea ww na umeshasema ni mtu wa totoz basi ndio tabia zao
mkalishe chini mpe A hadi z ya unavochukia tabia zake
huna haja kuogopa kwani umeolewa kuchungwa??? akizidi mwambie Lokissa atachukua chance ya kukupa tulizo lol
 
Yeye si mzee peaneni zamu yeye akizeeka wewe ndo utakuwa muda wako wa kula bata
 
....na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Huyo mume Mungu ndie amekupa? Hahahahahahaaa....dini bana!

Sasa mbona unasema utapoteza ndoa yako, Mume aliyekupa Mungu halafu ishindikane tena, Mungu alikosea timing au? Kwa nini Mungu akupe Mume "mtu wa totoz," Mungu hakujua jamaa mzinifu? Mungu akupe mtu wa kukutesa, Mungu gani huyo hana huruma, si heri angekuacha utafute mwenyewe? Ha ha ha ha ha ha ha... huyu Mungu basi ni pimp mbaya sana maana anakupa mume player unaishi na ma stress ya ndoa... dah pole, ila mimi nisingekubali dili la huyo mume wa kupewa na Mungu-pimp!

Utaishije na Mume anakutia wazimu umo ndani unasema eti umepewa na Mungu? Utapata ukimwi! Na ni upumbavu, I am sorry to say that, sikutukani nasema hivyo kwa vile nakupenda na nakutakia mema dadaangu.
 
Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume kanizidi cna umri na ni mtu wa totozi sana
Sasa kwa kuwa nimetoka ktk familia ta wacha mungu nikaona nipambane na maisha huyu ndiye mume mungu aliyenipa.
Nimekuwa nikivumilia na huu ni mwaka wa 7 wa maisha yetu pamoja lakini nakereka na vitabia vingi ukiwamo wivu alionao kwangu wa kuputiliza natabia ya kuweka watu wa majirani na ofisini kwangu wanichunguze nan anakuja nan nna mazoea nae hasa wanaume.
Hiki kitendo huwa kinanikera nataman hata cjui nifanyaje na nkimuuliza asema et hawez acha kufanya hivyo coz me mkewe.kiukweli ni mbishi.
Ukweli ni kuwa me kma mwanamke mrembo kutongozwa ni kitu cha kawaida lakini sina mahusiano nje ya ndoa yangu.
Hapa nilipofikia nahisi namchukia mume wangu..what am gona do au niishije na huy mtu bila kukwazika?
nikimuona nasikia kulia tu na nikilia anasema eti kuna mtu namkumbuka dats y nalia.wakubwa wangu nielekezen kidogo ntaipoteza ndoa yangu

miaka 25 uko kwenye ndoa kwa miaka 7yrs? it means ulianza kundoa ukiwa na miaka 18 tu, sijui mmeo alikuwa na miaka mingapi labda utujuze
 
La kuzima simu lilipita nilitake it easy..matatizo nimekabiliana nayo kwa miaka yote lakini sasa naona ntazeeka mapema ikiendelea hivi mamii..nahitaji maisha yangu yachange huyu ataniuwa cz yy ameshaishi mara 2ya umri wangu sijui mbelen itakuwaj

So unamaana ana miaka 50. Vumilia miaka 15 ijayo atakuwa 65 hapo wewe ukiwa 40 hivi atatulia. By the way ndo matatizo ya kupishana saana umri, interest na perception zinaenda tofauti sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom