Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Ukitaka usipigwe ban pale kwenye setting za backup weka NEVER.

Usijidanganye kuweka email yoyote, ukiweka email tuu unakula ban chapchap.
 
Ukitaka usipigwe ban pale kwenye setting za backup weka NEVER.
Usijidanganye kuweka email yoyote, ukiweka email tuu unakula ban chapchap.
Hili la email unaweza kuwa sahihi maana Mimi nilihamia iPhone nikawa natumia official lakini walinipiga ban nikagundua tatizo ni email,maana hiyo email nilikuwa naitumia pia kwenye android kwenye GB kwa namba nyingine
 
Hili la email unaweza kuwa sahihi maana Mimi nilihamia iPhone nikawa natumia official lakini walinipiga ban nikagundua tatizo ni email,maana hiyo email nilikuwa naitumia pia kwenye android kwenye GB kwa namba nyingine
Yap.

Kwa hiyo dawa ni kutokuweka email
 
Asante sana yousef al basha
Yowhatsapp itabaki kuwa juu
255713288489_status_fbdbcd8ea15f4833b71fb2bc7850b421.jpeg
 
Hiyo ya ku-freez last seen inaboa sana...

Utakuta mtu anakujibu au yupo online kabisa ila last seen yake ati ni mwaka jana...

Kuhusu ku-download status hilo siyo big deal hata Whatsapp ya kawaida inafanya hiyo...

Mimi natumia Whatsapp ya kawiada ila nikiview status yako Automatic inaji download...


Cc: mahondaw
 
Habar wana jf,

GB whatspp yangu nikitaka kuingia inaniambia nimepigwa Banned, sijui ni kwann eti Kwa wanaojua,
 
Yaani ni kwamba, WhatsApp original wamefanya yao.
Kama hujaelewa ni kwamba, GB WhatsApp wanakiuka hati miliki ya WhatsApp, kwa hiyo, WhatsApp wameamua kupambana kuhakikisha ninyi mnaoiba na kukiuka copyright yao unapewa kibano haswa.
Yaani ni hiviii, namba yako hiyo huwezi tena kuitumia kutuma au kudownload WhatsApp unless and until unabadilisha.
Pole!


........................................

Update

Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam



point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na policy za WhatsApp

...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,



kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee



Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom



Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz



wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...



Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom