Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Yaani ni kwamba, WhatsApp original wamefanya yao.
Kama hujaelewa ni kwamba, GB WhatsApp wanakiuka hati miliki ya WhatsApp, kwa hiyo, WhatsApp wameamua kupambana kuhakikisha ninyi mnaoiba na kukiuka copyright yao unapewa kibano haswa.
Yaani ni hiviii, namba yako hiyo huwezi tena kuitumia kutuma au kudownload WhatsApp unless and until unabadilisha.
Pole!

........................................

Update

Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam

point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na policy za WhatsApp

...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,

kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee

Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom

Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz

wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...

Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Sasa kaka, wanaofanya ivyo ni whatsapp original au GB whatsapp??? Maana akaunt yangu imepigwa Ban ya masaa kumi na whatspp GB, inamaana whatspp original wana mamlaka gani na namba yangu had wajee kuipiga Ban huku kwenye App ambayo haiwahusu japo mnasema ni feki
 
Taarifa imewafikia vizuri kama ni sindano imewaingia asante kwa ufafanuzi
 
Sasa kaka, wanaofanya ivyo ni whatsapp original au GB whatsapp??? Maana akaunt yangu imepigwa Ban ya masaa kumi na whatspp GB, inamaana whatspp original wana mamlaka gani na namba yangu had wajee kuipiga Ban huku kwenye App ambayo haiwahusu japo mnasema ni feki
Msome vizuri tena alichokueleza hapo juu,tulia
 
Sasa kaka, wanaofanya ivyo ni whatsapp original au GB whatsapp??? Maana akaunt yangu imepigwa Ban ya masaa kumi na whatspp GB, inamaana whatspp original wana mamlaka gani na namba yangu had wajee kuipiga Ban huku kwenye App ambayo haiwahusu japo mnasema ni feki

Ni hivi, WhatsApp GB inakiuka hati miliki ya WhatsApp, kwa hiyo WhatsApp wametumia mbinu zao kuwabaini users wa WhatsApp GB, so wameamua kupambana nao. Na hao watu ni kama wewe hapo.

Yaani, ni kama mtu aliyetengeneza virus, halafu mwingine akatengeneza ant virus.

Kwa hiyo ni vita ya kibiashara maana WhatsApp wanahaha ili app yao isife.
 
Yaani ni kwamba, WhatsApp original wamefanya yao.
Kama hujaelewa ni kwamba, GB WhatsApp wanakiuka hati miliki ya WhatsApp, kwa hiyo, WhatsApp wameamua kupambana kuhakikisha ninyi mnaoiba na kukiuka copyright yao unapewa kibano haswa.
Yaani ni hiviii, namba yako hiyo huwezi tena kuitumia kutuma au kudownload WhatsApp unless and until unabadilisha.
Pole!

........................................

Update

Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam

point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na policy za WhatsApp

...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,

kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee

Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom

Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz

wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...

Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
Baby...Mimi sibadili gbwhatsapp mpaka nipate ban.
 
Big up brother;

Umewaelezea vizuri saana.

Kwaiyo Labda Nitumie namba ambayo sijawai kuitumia kwenye whatspp original, ila GB whatsapp ni nzuri kweli, nimehamua kui-unistall tu hamna namna
 
Kama hawajaku block unaweza kuitumia.

Maana huwa wanatoa onyo na wanakublock kwa muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom