Juzi nilisikia wakisema CCM ina wanachama milioni 13.
Je kwa huu ukusanyaji holela wa NIDA kwa nini tusifikiri kwamba wameunganishwa automatically kuwa wanachama, bila mhusika kupenda wala kujua?
Kama kuna wapiga kura feki, siyo vigumu kuwa na wanachama feki.