kweli dunia ina mambo,naona siku izi watu wanatumia fursa ipasavyo..juzi kati nilikuwa maeneo ya kujidai na washkaji mara topic ikaanza,,kuna jamaa wangu uwa anamhusudu sana wema sepetu,ndipo nilipoanza kudawaa baada ya yule mwenzetu mwingine kuanza kuapa kwa nguvu zote kuwa endapo atamdakisha laki moja tu,basi namba hiyo ya mrembo huyo itakuwa mali yake halali,akuishia apo,aliahid kutoa ushirikiano wowote kama kuna demu mwingine bongo movie ambaye angemuhitaji basi pochi yake tu ndio ingewezesha kila kitu,nilichoka pale alipoanza kuorodhesha kila msanii na bei yake,ila kwa mujibu wake wema sepetu na lulu ndio wenye dau kubwa zaidi,kuliko wasanii wengine ambao kuna hadi wa elfu kumi unapat namba zao kiroho safi, sasa apo ndo utajua mwenyewe unaenda kufanya nazo nini hizo namba za simu,duh,kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani..