Namba za mastaa hawa zinapatikana kuanzia elfu kumi hadi laki..

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
kweli dunia ina mambo,naona siku izi watu wanatumia fursa ipasavyo..juzi kati nilikuwa maeneo ya kujidai na washkaji mara topic ikaanza,,kuna jamaa wangu uwa anamhusudu sana wema sepetu,ndipo nilipoanza kudawaa baada ya yule mwenzetu mwingine kuanza kuapa kwa nguvu zote kuwa endapo atamdakisha laki moja tu,basi namba hiyo ya mrembo huyo itakuwa mali yake halali,akuishia apo,aliahid kutoa ushirikiano wowote kama kuna demu mwingine bongo movie ambaye angemuhitaji basi pochi yake tu ndio ingewezesha kila kitu,nilichoka pale alipoanza kuorodhesha kila msanii na bei yake,ila kwa mujibu wake wema sepetu na lulu ndio wenye dau kubwa zaidi,kuliko wasanii wengine ambao kuna hadi wa elfu kumi unapat namba zao kiroho safi, sasa apo ndo utajua mwenyewe unaenda kufanya nazo nini hizo namba za simu,duh,kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani..
 
Haaahaa ukiamua kuweka km mapambo kwny 4n book kazi kwako ila kuna mwehu pale corner bar alikua anasema anazo ila yy kiboko zaidi ukitaka namba ni elfu 20 ila aunganishe bomba ili upate huduma ya dawasco laki 1 hapo akija uyo msanii anataja dau lake duh ila nikahc analeta u-DECI wadau wakaa nae kikao cjui waliishina vp.
 
chezea bongo....kujikinga mvua tu mia....haiuzwi oksijeni tu...
 
Aaah dah kuna movie ya kibongo nilikuw nacheki,watu wamejaa kibao kweny daladala,sasa kuna mama mjamzito alikosa siti,akawa anamuomba jmaa wa pembeni yake amsaidie,jamaa mwenyew msela akamwambia ampe buku jero amwachie siti,demu kwa kuwa alichoka na kitumbo ikabid ampe mchiz tu,halaf jamaa uyo akashuka zake,dah nilicheka sana
 
Pale Posta nyakati za jioni usafiri shida, kuna vijana gari likiingia tu wanawahi siti na kuiuza kwa jero.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom