kama umewahi kuona kupitia ITV au kwa anayejua ile ishu ya yule mama aliyevimba mguu na anahitaji msaada kupitia ITV,kwa kweli ile habari ilinigusa sana na natamani sana nichangie,lakini sina namba ya sam au mhusika mwenyewe ....aliye nayo au anayemfahamu naomba anijuze......kwa hii thread au kwa PM
asanteni