Namba ya NIDA imefungiwa

Namba ya NIDA imefungiwa

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,244
Reaction score
7,723
Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba yangu pamoja na kumpatia kitambulisho.

Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho kwa muda mrefu.

Sababu za kutokuchukua nilihama mkoa kabla hawajatoa kitambulisho
 
Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho kwa muda mrefu.

Sababu za kutokuchukua nilihama mkoa kabla hawajatoa kitambulisho

Walitoa tangazo kitaifa juu yenu huko nyuma mvichukue kwa muda fulani.

Watakujibu waliopitia yako na pia sechi nyuzi juu ya hilo usome waliandika nini wadau.
 
Walitoa tangazo kitaifa juu yenu huko nyuma mvichukue kwa muda fulani.

Watakujibu waliopitia yako na pia sechi nyuzi juu ya hilo usome waliandika nini wadau.
Sawa nashukuru
 
Kujisumbua kote huko kisa nini, nenda kachukue makalatasi ujaze upya na utwange lipicha upya biashara kwisha unapata kingine.
 
Hawa watu sio poa,walileta hzo kadi baadae wakazirudisha zikafanyiwe marekebisho afu hawajazirudisha,afu sahv wameanza kufungia ndo nin sasa
 
Sababu ya kufunga namba haina mashiko!

Wao tumewavumilia miaka hadi mitano baada ya kujiandikisha ndiyo tukapata vitambulisho vyetu au kwa vile vinafutika upesi wana hofu ukienda hutakitambua hivyo bora uombe upya!
 
Back
Top Bottom