Namba ya kupigia kura kupewa mtu wingine wa jimbo tofauti!

KAPONGO

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,661
668
Wakati wa zoezi la kuhakiki taarifa za kujiandikisha katika daftari la kudumu kwa kutumia BVR ikagundulika kuwa namba iliyoandikwa kwenye kitambulisho change kapewa mtu mwingine wa Jimbo la Njombe Mjini. Afisa Mhakiki niliyemkuta Halmashauri ya Manispaa akachukua details zangu ikiwemo namba za simu na kueleza kuwa wameelekezwa kuwasilisha taarifa hizo Tume ya Uchaguzi kwa ajili ya maamuzi na kuwa tutarekebishiwa kabla ya siku ya kupiga kura.

Lakini hadi leo hakuna chochote kilichofanyika.

Swali ni Je nitaruhusiwa kupiga kura October 25?
 
Back
Top Bottom