Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ya kwanza ndio yenyewe na hata mwanamme wa kwanza ndie akumbukwae!
Mkuu mbona umekwenda mbali sana?Ya kwanza ndio yenyewe na hata mwanamme wa kwanza ndie akumbukwae!
Upo sahihi sana mkuu!Ya kwanza ndiyo poa kwani alikuwa bado hajaji-Wema Sepetu (kujiharibu).
Mkuu mbona umekwenda mbali sana?
Mkuu saudari hatumzungumzi marehemu kwa ubaya tunazungumza uzuri wake hapa. Haitaikiwi marehemu utaje mabaya yake taja mazuri yake.
Ya kwanza ndiyo poa kwani alikuwa bado hajaji-Wema Sepetu (kujiharibu).
coment kama hizi ni moja ya mambo yaniyonifanya nije kuzurura huku nikipata mda hata kama sina mudi,,,nilizowahi kukutana nazo nikaziweka akilini ni ,,TBccm,POLIccm,na kujiwema sepetu teheheh