ndugu zangu ni kweli mapinduzi tutayeleta sisi,kama hatutawaambie ukweli hawa wa mitandao ya simu tutaibiwa sana na kusumbuliwakm ni matangazo watumie utaratibu mwingine,hawa jamaa wanaleta usumbufu sana,TCRA nadhani mpo,mdhibiti haya mambo
nashukuru kwa majibu mazuri,ila nasema ukwrli ni ndugu yangu ndio kapigiwa na akiwa ameshatishwa na watu kuwa ni hao jamaa mi nilijitahidi kumweleza kuwa hakuna kitu kama free m,kumpigia mtu simu.sasa ili apate kuamini zaidi nikamwambia kuwa nitaweka jf ili tupate kujua zaidi.tuendelee kuelimishana wadau.
anaijua ni msomi kiasi,sasa we ni bora ukajibu swali na kushauri kuliko kujionesha much know humu mbona wengine wanakuzidi kujibu ndugu.jibu hoja kuuMkuu hapa ni kwa ma'gt.. kuwa mkweli tu.. yani ndugu yako wa kijijini tena tanzania, umwambie kwamba nitaweka jf!? ina mana yeye anaijua jf..?? be sincere buddy!