namba hii ya ajabu,nani anaijua.

namba hii ya ajabu,nani anaijua.

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
511
kuna ndugu yangu anaishi kijijini, kapigiwa simu na namba inayo anza na 0901 sasa aliogopa kupokea,na imekuwa ikimpigia mara kwa mara,alipo wauliza watu wakamwabia asipokee hao ni freemason,akipokea tu atapata matatizo. tunaomba ufafanuzi kwa anayeijua namba hii ni kodi ya nchi gan?
 
ni namba za uunganishwaji na marafiki mbalimbali za makampuni ya simu,asiwe na hofu!
 
Matangazo tu hayo. Akipokea atasikia matangazo ya mtandao anaotumia.
 
Acha uongo MR.NOMA, simu umepigiwa wewe unaongopa eti amepigiwa ndugu yako kijijini, kwani ukisema ukweli utaonekana mshamba!
 
Last edited by a moderator:
jamaa mjanja kweli hahahaha. Eti ndugu yangu kijijini, ndo asumbuke kukupigia wewe wa mjini akijua atapata ufumbuzi na wewe ukashindwa kumwambia lolote, nawe ukababaika ukaja hapa kuuliza!! Damn it. Mtadanganyika hadi lini na hizo habari za kupigiwa simu na freemanson hadi lini? Mwambie apokee apate matangazo ya huo mtandao baasi.
 
Mbona za kawaida tu hizo!zinafundishwa toka chekechea,0,1,2,3,4,5,6,7,8,9.
 
kuna ndugu yangu anaishi kijijini, kapigiwa simu na namba inayo anza na 0901 sasa aliogopa kupokea,na imekuwa ikimpigia mara kwa mara,alipo wauliza watu wakamwabia asipokee hao ni freemason,akipokea tu atapata matatizo. tunaomba ufafanuzi kwa anayeijua namba hii ni kodi ya nchi gan?

Wanipigie mimi nitapokea, napenda matatizo. Naona watu wameshartengeneza Mungu wa pili humu duniani
 
nashukuru kwa majibu mazuri,ila nasema ukwrli ni ndugu yangu ndio kapigiwa na akiwa ameshatishwa na watu kuwa ni hao jamaa mi nilijitahidi kumweleza kuwa hakuna kitu kama free m,kumpigia mtu simu.sasa ili apate kuamini zaidi nikamwambia kuwa nitaweka jf ili tupate kujua zaidi.tuendelee kuelimishana wadau.
 
Hizo namba kuanzia 0901-0913 ni special number za uingereza ambapo makampuni wanapewa ili unapopiga unakatwa mpaka £1.53 (2500) kwa dakika,
 
Back
Top Bottom