Tumtafuteni ale kichapo,iwe funzo kwa wote
Nilishawahi kum-fake siku moja nkamwandikia msg " nimeona msg yako hiyo 40K niitume kwa namba ipi?" Asivyo na.kumbukumbu ya aliowatumia alinijibu eti "tuma kwenye namba hii" wakati huo sikuwa nimewasikiana isipokuwa mtu alilalamika humu ntachukua namba na kumtumia yaani tapeli jinga halijielewi!
Shahidi namba mbili mimi hapa.Hello, am Mr. Frank from HOLLARD GROUP LTD Dar, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for ACCOUNTANT POST, cv yako ni nzuri nataka nikusaidie upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/= ukipata salary ya kwanza utanipa sh. laki 4, na kabla ya saa 11 jioni uwe umetuma sh. elfu 40 by tigopesa kwenda namba hii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.
Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;
''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.
Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii
Meseji km iyo rafiki yangu alitumiwa kinachotakiwa ni kui report PCCB tuMtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;
''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.
Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii namba.
Meseji km iyo rafiki yangu alitumiwa kinachotakiwa ni kui report PCCB tu
PCCB ya wilaya gani?! au ya hapa hapa Tanzania!!!!? Kareport uone ili km hujaliwa huko PCCB zaidi ya hiyo 40 alokuomba hyo jamaa