Namba D

Kwa sisi washamba wa magari, hv hizo namba zinakuwa na umuhimu gani mana kitambo naona watu wakimsubiri hy namba D
 
Kwa sisi washamba wa magari, hv hizo namba zinakuwa na umuhimu gani mana kitambo naona watu wakimsubiri hy namba D
Ni namba za usajili wa magari hapa Tz.Sasa hv ukiwa na Gari namba DW...,utaonekana unaendesha Gari Mpya kwa hapa kwetu TZ..ingawa namba hizo hazielezei Upya halisi wa Gari.Maana unaweza kukuta kuna mtu ana Gari Plate No.BAA na imetemgenezwa mwaka 2005 na mwingine ana hiyo tunaita mpya namba DWZ lkn imetengenezwa 1997.
 
Nmekuelewa boss
 
Nahisi Namba D kuisha Hadi mwakani maana kuifikia DZ imekua Mtihani na nusu
 
namba haina mchango kwenye perfomance ya gari ila inamchango kwenye kuonesha umri wa gari katika harakati za uzurulaji hapa bongo

Mawazo tu ya watu siku hizi kuna Namba A Za replacement ya D
 
Naona Plate number D zinazikwa muda wowote kuanzia sasa.
Sasa tuko DXG.. herufi I na O itaruka hesabu kutoka H mpaka Z
Halafu uje DYA.. hesabu mpaka Z ukiondoa I na O
Uje DZA.. Hesabu mpaka Z ukitoa I na O
kama mpaka december 2022 , kama una gari yako unatembelea chasis namba ukijifariji ikiingia namba E utasajili, unajitesa tu na hela za kuhonga trafki na mambo ya time limit.
 
Kibali Cha kutembelea chassis number ni sh ngp na ni kwa muda gani?
 
namba haina mchango kwenye perfomance ya gari ila inamchango kwenye kuonesha umri wa gari katika harakati za uzurulaji hapa bongo
Kwenye suala kwamba namba determines umri wa hapa bingo wkt mwingne si kwel, hujaona Lori limechoka liko namba DW?
 
Kibali Cha kutembelea chassis number ni sh ngp na ni kwa muda gani?
Nafahamu siku za weekdays mwisho saa kumi na mbili jioni, weekend mwisho saa tatu.. usiku ngoja wanao jua zaidi watasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…