verses fountain
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 155
- 191
Hahahahahah....jamaa chizi kwelikweli
Mitume walishambulia imani za miungu ya ajabu ajab na kuasa wakristo wakemee mafundisho ya kishetani au nikupe mafungu??Nimezaliwa kwenye familia ya baba mkatorik na mama msabato bahati nzuri baba alisoma seminari na wasabato kqma mnavyojua watu wa lesoni ila pamoja nq kushawishiwa na wasabato kubadili dhehebu nimebaki na ukatorik wangu sababu wasabato badala ya iuhubiri dini wamewekeza kushqmbulia wakatoriki zaidi wamesahau dini ni upendo unapomshqmbulia mtu mwingine kwa imqni yake tayari unafanya dhambi.
sijui ni kanisa gani hilo uliambiwa 20%...yote nayojua mimi ni 10%...kuhusu makambi ni sherehe tu ya kibiblia na siyo lazima...Chrismas ni sherehe ya kibiblia?Mafundisho ya wasabato yapo clear Sana nadhani ndo the best katika Imani ya kikristo sehemu moja Tu huwa siwaelewi wao zaka ni 20% badala ya 10% na wanaweka imekuwa command... Japo jingine , skukuu za makambi skukuu ambazo hazina maana kabisa ila ni mradi wa upigaji wa wachungaj kupeana posho
Melanin sio atom pumavu wewe666 ni pure blacks melanin imeundwa na 6 protons 6 electrons na 6 neutron. Muafrika ndio mnyama anayesemwa hapo.
Unawezaje kumuelimisha mtu kwa kumtukana tena kwa jambo la imani za kidiniMelanin sio atom pumavu wewe
nimemtukanaje?Unawezaje kumuelimisha mtu kwa kumtukana tena kwa jambo la imani za kidini
😂😂😂😂😂Daaah yaani mtu mzima amekaa anaandika UPUUZI ety 666 ellen mara papa umechekesha sana ndugu.NYIE PAMBANENI NA UNABII ILA KUMBUKENI CORONA INAUA HADI MASHEKHE NA WACHUNGAJI
HALAFU
CORONA INA HERUFI 6
UKIJUMLISHA HIZO HERUFI UNAPATA 66
UKIANDAKA NAMBA NZIMA UNAPATA 666
MSITUSUMBUE MAISHA YENYEWE MAGUMU